sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Ha haaaa,sipend kuomba nlizidiwa na shida tu ndo mana nkaomba hiyo kdg
Siku nyingine ukiwa na shida ya hela ndogo kama hiyo ni afadhali ukampiga kirungu mwanaume ambaye unajua anakutolea macho..
Ha haaaa,sipend kuomba nlizidiwa na shida tu ndo mana nkaomba hiyo kdg
Amina,niutaufanyia kazi ushauri wakomwanaume wako WA 5000 sio mwelewa au la co situational!!!
Hata asingekua na hyo ela c angetumia upole tuu kukueleza!!!
Misitu mingi inateketea kwa moto kwa sababu ya kudharau kanjiti kadogo ka kiberiti!!!
Nakusihi jiridhishe kwanza, pay time then you will have to conclud at last!!!
Ha haaaa,sawaSiku nyingine ukiwa na shida ya hela ndogo kama hiyo ni afadhali ukampiga kirungu mwanaume ambaye unajua anakutolea macho..
Ha haaa,mbahili hadi anaumwaHahahahaa huyo wa buku tano kanichekesha hatari...ni hapo tu nimesoma huko kwengine hata sijasoma
Sijui nakufananisha au ndo wewe??
5000 Thou??? Na hujamsahau wewe ni kiboko!!
Hii story yako sijui nakufahamu?? Ni wewe kweli??
haha huu mwandiko hata mi naupatapata sijui ni yeye
Afadhali umekuja, kumbe ndo yeye???? Aisee hizi fake ID hizi.....
Hahaha mkuu Zamiluni Zamiluni mtu kama huyu unamuitikia tu thn unamuonyesha suprise moja matata sana. Yeye si kaomba 5,000? Unaomuongezea sifuri mbili....
Heeee pesa zote kumbe ndio unavyozimaliza eeeh? Huyu habibty wako utampa mia ya candy lol
mweh! endelea tu kukaa hivyo hivyo mwaya bikra yako irudi.....
Shem; usijaali kavocha tu,,,, omba jingine bila staha..... unajua utavipitia anytime !....haya nitumie kavocha...😈
ukhti Farkhy.... ntakutetea na ntamtetea Ammura wetu apokee seven figures !! Wallah utafiti safari hii atawajibika Canada!!Heeee pesa zote kumbe ndio unavyozimaliza eeeh? Huyu habibty wako utampa mia ya candy lol
Afadhali umekuja, kumbe ndo yeye???? Aisee hizi fake ID hizi.....
Umejitahidi kujifanya uonekane kuwa Wewe ni mwema Wakati ni mpenda hela namba moja
Mapenzi ni furaha Kwahyo kama unapenda hela na jamaa hakupi ina maana hupati furaha basi achana naye
Lakin hakikisha kuwa Huyo mpya ni mtoa hela Sababu ndio unachokitaka Kutoka kwa mpenzi.
Conclusion:
Kujitambua ni suluhisho la mengi. Tambua kuwa Wewe ni mpenda hela na Si mpenda mapenzi
Heeee pesa zote kumbe ndio unavyozimaliza eeeh? Huyu habibty wako utampa mia ya candy lol