Sijui nichague wapi

Sijui nichague wapi

Njoo kwangu hata ukiomba milioni namwaga, wananiita young bilionea huku kitaa. Usitake shida mtoto mzuri kama wewe
 
Muombe sana mungu,ila kabla hujaolewa jitahidi kwa njia ya mazungumzo umjue anaekuoa ni mtu mwenye mtazamo gani
 
HODII,mm ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yan umri wangu unaruhusu kuolewa, nliwahi kuumizwa na mapenz kiasi kwamba sikuwaza kama ntakuja kutaman kuolewa,miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono,sasa nimechoka,nataman mwenza angalau na mm nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwez kumuita mchumba, tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwah kupata tatizo nkamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yan alinifokea kama mtoto mdogo eti mm napenda pesa, sasa nkamchoka, nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielew km na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaid? naomben ushauri

Mapenzi haya shauriki dada cha muhimu kuwa makini familia yako bado hinakuhitaji .kuna ngwengwewee
 
Nampa big up huyo jamaa. Baadhi yenu hamfai hata kwa dawa.
Nimewahi kushuhudia mdada akipiga simu kwa wanaume watano. Huku kila mmoja akiitwa 'asali' na kuombwa 40K. Wawili walichomoa straight away, watatu walim- m-pesa straight away. Akaondoka na kibubu cha 100K bila jasho. Wadada wa kitaa waangalie tu..
 
asante
 
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.

Miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono, sasa nimechoka, natamani mwenza angalau na mimi nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwezi kumuita mchumba.

Tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwahi kupata tatizo nikamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yaani alinifokea kama mtoto mdogo eti mimi napenda pesa, sasa nikamchoka.

Nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielewi kama na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaidi?

Naombeni ushauri

matatizo ya kiuchumi katika mahusiano hayawezi kumalizwa na mpenzi wako pekee,kwanini usingemuomba baba yako mzazi?
 
Miaka mine?kweli wewe mvumiliv na unafaa,hustahili kupata mtu wa kukuchezea lakin mtu anayejua thaman yako.Huyo aliyekufokea kwa ajili ya elf5 hajui thamani yako ingawa unaweza kujishusha na kuonekana 'cheap' kwa kuomba elfu 5 anza kuomba kuanzia elfu10 na kuendelea.Achana nae huyo taratibu huku ukiendelea kumsoma huyo mpya.Lakini usijaribu kuwavulia chupi hata mmoja mpaka uhakikishe ni mtu sahihi kwako.Take care!
 
Nampa big up huyo jamaa. Baadhi yenu hamfai hata kwa dawa.
Nimewahi kushuhudia mdada akipiga simu kwa wanaume watano. Huku kila mmoja akiitwa 'asali' na kuombwa 40K. Wawili walichomoa straight away, watatu walim- m-pesa straight away. Akaondoka na kibubu cha 100K bila jasho. Wadada wa kitaa waangalie tu..
Kweli machangudoa wana mbinu nyingi sana.....inawezekana huyu ni mmoja wao......MIZINGA STYLE......
 
Back
Top Bottom