- Thread starter
- #81
matatizo ya kiuchumi katika mahusiano hayawezi kumalizwa na mpenzi wako pekee,kwanini usingemuomba baba yako mzazi?
Umesahau kuwa ww ndo baba yng ulinkimbia?
matatizo ya kiuchumi katika mahusiano hayawezi kumalizwa na mpenzi wako pekee,kwanini usingemuomba baba yako mzazi?
thank uMiaka mine?kweli wewe mvumiliv na unafaa,hustahili kupata mtu wa kukuchezea lakin mtu anayejua thaman yako.Huyo aliyekufokea kwa ajili ya elf5 hajui thamani yako ingawa unaweza kujishusha na kuonekana 'cheap' kwa kuomba elfu 5 anza
kuomba kuanzia elfu10 na kuendelea.Achana
nae huyo taratibu huku ukiendelea kumsoma
huyo mpya.Lakini usijaribu kuwavulia chupi hata
mmoja mpaka uhakikishe ni mtu sahihi
kwako.Take care!
Machangudoa bwana....wakali kweli kweli......
Ushauri wangu ni kuwa huyo jamaa yako wa kwanza....alipata hisia mbaya ulipo muomba hela alidhani nyie ndio wale mademu wa mizinga...lakini mimi binafsi naamini mwanaume anayekupenda kwa dhati hawezi akaionea ubahiri shilingi elfu tano.....wapo watu wanahongwa mpaka magari........mimi nakushauri tulia kwanza yupo ambaye anakupenda kwa dhati...wakati ukifika atakuja....tu....VUTA SUBIRA....DADAWee punga achana na mm,km huna ushaur kakojoe ulale,kibamia ww
Asante mkuuUshauri wangu ni kuwa huyo jamaa yako wa kwanza....alipata hisia mbaya ulipo muomba hela alidhani nyie ndio wale mademu wa mizinga...lakini mimi binafsi naamini mwanaume anayekupenda kwa dhati hawezi
akaionea ubahiri shilingi elfu tano.....wapo watu
wanahongwa mpaka magari........mimi
nakushauri tulia kwanza yupo ambaye
anakupenda kwa dhati...wakati ukifika
atakuja....tu....VUTA SUBIRA....DADA
Wewe mwenye kitu umefany nn cha maana,halaf ww Dr nakufaham kaa kimyaMmmmmmmmh!
Aiseeeeh!!!!!
Wewe na huyo buku 5 fc hamna kitu wote.
mpenda hela ataomba elfu5?
Binti wa watu alizidiwa.
Mjifunze kuhudumia jamani, siyo lazima muombwe hela.
Mtu anaomba elf5 ushamuweka kwenye kupenda hela khaaa.
haya Nabii, unaonesha wanifaham kuliko NnavyojifahamSoma between the lines my dear,Hiyo buku 5 kaweka ili apate huruma tu Lakini kama utasoma vizuri huenda aliomba zaidi ya hiyo
Huyu anaonekana ni mpenda hela ukisoma
vizuri
unaomba elfu5 wewe ni.mkoma????
Kiongozi, hawa watizame tu hivi hivi....!Kweli machangudoa wana mbinu nyingi sana.....inawezekana huyu ni mmoja wao......MIZINGA STYLE......
Eli79 katika ubora wakeKiongozi, hawa watizame tu hivi hivi....!
Niliwahi kupanga nyumba moja na mdada huyo, alikuwa balaa.Tango, Badoo, Whatsapp, facebook, LinkedIn, Skype...nk alikuwa akiwapanga wanaume na kuwapiga mizinga iliyoshiba...aaah..yule dada ni kiboko.
Na hapa mjini wadada baadhi ndio lifestyle yao..! mie hadi nithibitishe kuwa niko mwenyewe, azawaiz coin yangu haioni..!
Hapana nimezaliwa bila mikono
Mkuu karne hii hakuna papuchi ya pekee yako....yako ukiwa nayo kitandani tu.....akikupa kisogo.....watu wanadandia gari.......ndio maana now days papuchi hazina ladha yaani kama unakunywa maji vile.......imagine unakuta papuchi moja per day inameza madushe karibia manne je utamu utatoka wapi.....?????........ndio maana naonaga bora nipige punyeto tu muda mwingine......mkuuu.....Kiongozi, hawa watizame tu hivi hivi....!
Niliwahi kupanga nyumba moja na mdada huyo, alikuwa balaa.Tango, Badoo, Whatsapp, facebook, LinkedIn, Skype...nk alikuwa akiwapanga wanaume na kuwapiga mizinga iliyoshiba...aaah..yule dada ni kiboko.
Na hapa mjini wadada baadhi ndio lifestyle yao..! mie hadi nithibitishe kuwa niko mwenyewe, azawaiz coin yangu haioni..!
Heee kumbe mkongwe......Wewe mwenye kitu umefany nn cha maana,halaf ww Dr nakufaham kaa kimya