Du! watu8 umesomea wapi kutambua umri wa mtu kwa kuangalia kiganja? umri mdogo unamaanisha miaka mingapi hivi? hiyo picha niliipiga juzi tayari nikiwa na miaka 13 ndoani, ha haaaaaa
shurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!Umeona eeeeh!
mimi mume wangu huwa ananitambulishaga atakavyojisikia, siku nyingine utasikia huyu ni girlfriend wangu, siku nyingine huyu mchumba........... watu wanatutamanije!
hao wa hivyo utawasikia wamawatambulisha wake zao, huyu mama naniii..... lol!
Mwalimu!shurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!
mwanafunzi wangu!Mwalimu!
shurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!
Kuna wengine wanavaa kidole cha kati, na wengine kile cha pili kutoka mwisho! So, kuna tofauti yeyote au??
mbona unawakana wanao...mkiwa chumbani ndio asikuite mama flani, lakini nje kwa jamii jina mama flani na baba flani yanahusika sana.
yaani sisi hayo majina ya mama fulani/ baba fulani tumewaachia majirani na ndugu, sisi hatuyajui kabisaaaaaaaaaaaaaa. tunajua tuna watoto lakini majina yao hayahusiki kwenye kuitanambona unawakana wanao...mkiwa chumbani ndio asikuite mama flani, lakini nje kwa jamii jina mama flani na baba flani yanahusika sana.
Umeona eeeh mlongo wangu........ majina yanahusika sanashurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!
sijajua huo umri wako mdogo ni miaka mingapi, for sure not under 18, lol!nimeiangalia kwa makini tu ngozi yako, nikatazama mikunjo yake nikagundua kiumri bado si mkubwa sana na sasa unasema umekuwa ndoani miaka 13 ndio wanifanya niamini kuwa kweli uliolewa ukiwa mdogo
si unajua wamama ndo wana hayo matabia ya kuitana hayo majina? mama zetu wamefunga midomo yao wenyewe, wametusema weeeeeeeeeeeee wameshindwa.siwakani my dear!napeda sana watu wengine waniite mama fulani lakini mume wangu hapana!na huwa tunaitana majina yetu au pet name zetu toka tunakua,hizi ni kwenye public
tukiwa chumbani huko ndo zile za kwenye shuka kabisa si unajua!
ahahahaahahaah wala si masikhara lazima iwe hivo,yani kwa kweli soo lovely!si unajua wamama ndo wana hayo matabia ya kuitana hayo majina? mama zetu wamefunga midomo yao wenyewe, wametusema weeeeeeeeeeeee wameshindwa.
kuna siku mtoto wangu kamwita jina babake, sababu kaita dad dad dad..... haitikiwi, akatia fulani.... baba mwenyewe kageuka, tulichekaje sasa
huyo anayevaa dole la kati ana lake jambo...
Umeona eeeh mlongo wangu........ majina yanahusika sana
Dominika nahambili kumisa ya lukela. mwezi wa mama huu tisali Rosali kwa kwenda mbele.
wamuyangu uyendelela wuli na familiya?
ndo upo darasani mlongo wangu Kipipi? ndioUmesali misa ya asubuhi??? mmmmh......
ndo upo darasani mlongo wangu Kipipi? ndio
ukiwa na nia utawezawe acha tu......eti najaribu kuzisoma herufi zenu! Lol, natamani niweze!
charminglady usiogope mpenzi wangu mama kijacho, wewe ndo kila kitu kwangu mama