Sijui ni ujinga au uzungu mwingi

Sijui ni ujinga au uzungu mwingi

Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

Senior Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
101
Reaction score
244
Nilienda nyumba moja Nikakuta wanavyolea watoto wao mpaka nikazila nikaondoka eti mtoto kapanda juu ya meza Ya kioo Baba yake yule mtoto Sijui ni uzungu badaa kumtoa mtoto Juu ya meza eti "junior nooo don't do this sikununulii ice cream nilivyo ona Hayo nikazila nikaondoka kimya kimya.

Nyingine tena Nilialikwa nyumba fulani ya rafiki yangu eti Yule binti yao mda wote tu wanaitana daddy and mom yani neno la kiswahili baba Au mama ulisikii ilihali wakishatamka hivyo hakuna kiingereza kinacho endelea zaidi ya hapo yani kiingereza wanachojua ni mom and daddy Afu Ni bint Mkubwa anae ita hivyo miaka kama 27 hivi. Nako nikazila nikaondoka kimya kimya tu.

Ikatokea tena Nilienda pia nyumba fulani eti baba mtu MZIMA mwenye nyumba kabisa jioni kaka sebuleni amevaa kaboksa na kaoshi tena Mbele ya watoto nayo nilizila nikaondoka.

JE NI UJANJA AU MIMI NDIO SIELEWI
 
Ukijali mambo yanayokuhusu hakika maisha yatakuwa rahisi sana.
 
So hapa shida yako ni Nini labda?
 
Shida ni kwamba umezaliwa Tandahimba, baba na Babu yako walizaliwa tandahimba, na Mama yako alizaliwa Muleba ya kusini, na sasa mnaishi Mtwara Vijijini.

Unapokuja mjini lazima utazira tu, rudi huko kwenu.
 
Nilienda nyumba moja Nikakuta wanavyolea watoto wao mpaka nikazila nikaondoka eti mtoto kapanda juu ya meza Ya kioo Baba yake yule mtoto Sijui ni uzungu badaa kumtoa mtoto Juu ya meza eti "junior nooo don't do this sikununulii ice cream nilivyo ona Hayo nikazila nikaondoka kimya kimya.

Nyingine tena Nilialikwa nyumba fulani ya rafiki yangu eti Yule binti yao mda wote tu wanaitana daddy and mom yani neno la kiswahili baba Au mama ulisikii ilihali wakishatamka hivyo hakuna kiingereza kinacho endelea zaidi ya hapo yani kiingereza wanachojua ni mom and daddy Afu Ni bint Mkubwa anae ita hivyo miaka kama 27 hivi. Nako nikazila nikaondoka kimya kimya tu.

Ikatokea tena Nilienda pia nyumba fulani eti baba mtu MZIMA mwenye nyumba kabisa jioni kaka sebuleni amevaa kaboksa na kaoshi tena Mbele ya watoto nayo nilizila nikaondoka.

JE NI UJANJA AU MIMI NDIO SIELEWI
Ume"zila" nini?

"when you are in Rome do what the Romans do".

Wewe una haki ipi ya kuwapangia wengine maisha yao?

Cha maana zaidi ni kumwita pembeni mwenyeji wako na kuongea nae kuhusu ulichokiona ambacho hakikukupendeza, siyo kuondoka na kuja kumsengenya pembeni.
 
Tumeanza lini kupangiana namna ya kuishi na familia zetu..!!!?
 
TAFUTA PESA uache kuzunguka zunguka ovyo kwenye nyumba za watu. Mwenye pesa ndio anatembelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom