Sijui ni ujinga au uzungu mwingi

Sijui ni ujinga au uzungu mwingi

Mtoa mada nafikiri, kupitia hizo comments, umeshajionea vizuri hali ilivyo kwa jamii zetu. Kama ulikuwa unafanya research, basi imekupatia majibu murua kabisa. Humu kumbe wamejaa 'daddies' na 'moms' zaidi ya uliowaona. Hatri sana! Tumekwama!

Hapo binti au kijana yupo huru kumkiss 'daddy' na atajibiwa kwa furaha, 'waoooo, thank you!'
Hapo binti akirudi na 'dido' siku moja katika begi lake ataambiwa kwa upole na unyenyekevu, 'don't do that my princess jomoni'.

Hapo kijana akifika nyumbani na kijana mwenzie huku wameshikana mikono, kwa furaha ataambiwa, 'waoooww, what a good pair you make my prince!'

Hivi punde nimetoka kuupitia ule uzi wa mtoto kulawitiwa huko Mbeya, baada ya kuona majibu ya mada hii......ninapata tabu sana!

Pole mkuu, tusikate tamaa, tuombe Mungu sana sana sana!
 
Nilienda nyumba moja Nikakuta wanavyolea watoto wao mpaka nikazila nikaondoka eti mtoto kapanda juu ya meza Ya kioo Baba yake yule mtoto Sijui ni uzungu badaa kumtoa mtoto Juu ya meza eti "junior nooo don't do this sikununulii ice cream nilivyo ona Hayo nikazila nikaondoka kimya kimya.

Nyingine tena Nilialikwa nyumba fulani ya rafiki yangu eti Yule binti yao mda wote tu wanaitana daddy and mom yani neno la kiswahili baba Au mama ulisikii ilihali wakishatamka hivyo hakuna kiingereza kinacho endelea zaidi ya hapo yani kiingereza wanachojua ni mom and daddy Afu Ni bint Mkubwa anae ita hivyo miaka kama 27 hivi. Nako nikazila nikaondoka kimya kimya tu.

Ikatokea tena Nilienda pia nyumba fulani eti baba mtu MZIMA mwenye nyumba kabisa jioni kaka sebuleni amevaa kaboksa na kaoshi tena Mbele ya watoto nayo nilizila nikaondoka.

JE NI UJANJA AU MIMI NDIO SIELEWI
kwamba ni kilaza😂
 
Una tabia za kike, za kitoto na una njaa sana kuhangaika hangaika kwenye nyumba za watu . Kaa kwako. Achana na maisha ya watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom