Shukran, kutembea natembea, uzito Ni 60kg
Acha tu nduguPole sana...
Mwanzo wa tatizo la moyo...
Una depression... nenda hospitali...
Shukran we moyo ulikuwa na shida ganiMimi pia nilishawahi kupima pale Muhimbili Jakaya Kikwete ......
vipimo hivyo viwili majibu niliipata siku hiyo hiyo.....nilifika mapema saa 12 asubuhi nikafanikiwa kupima saa nne asubuhi, saa nane mchana nikapata majibu
wengine niliokuwa nao waliambiwa warudi kesho yake.....
usihofu mkuu ni kawaida
Nilikuwa nikitembea kwa spidi kidogo moyo ulikuwa unauma jasho likanitoka mpaka nikae nipumzike kwa muda.....Shukran we moyo ulikuwa na shida gani
Usijilaumu sana, kwa maisha tuliyokulia, fikiria zile boarding zetu za serikali enzi za Mwalimu, hasa baada ya Vita ya Kagera. Nyama tulikula mara moja kwa mwezi.Hayo ndio maisha yetu.....
mm kuna kipindi mambo yalinyooka sana....
nilikuwa na wasimamizi wazuri kwa hivyo kazi nilikuwa sina jmosi wala j3 nakulae beer nachoma mbuzi au kondoo na washikaji iwe home au kitaa
Mostly ni mazoezi ya aerobic....upper body exercises ukihusisha zaidi mikonoHayo mazoezi ndio yepi mkuu naomba usheena sisi
Bei walikupga Tsh ngapi kwa vipimo viwiliMostly ni mazoezi ya aerobic....upper body exercises ukihusisha zaidi mikono
Subiri majibu ya madaktari kwanza, kuna magonjwa ya kurithi ya moyo hasa kwa jamii za Afrika na Asia, Kuna life style na maradhi tu yanaweza kutokea labda kwa msongo wa mawazo.Mimi Ni 27, nilikuwa nakula nyama like Mara 5 kwa wiki(namaanisha mboga) choma Mara moja kwa wiki, likini nilikuwa nafanya kazi, sikuwa nakaa kizembe, now moyo unauma, Sina nguvu, naisi kizunguzungu kwa mbali
Nililipia pale pele kuna dirisha la malipo kwa vipimo vyote kama laki na hamsiniBei walikupga Tsh ngapi kwa vipimo viwili
NENDA HOSPITALIIII kapime Kisha uje na majibu hapa tukushauri zaidiWakuu napitia hali ngumu Sana.
Mwezi wa 11, nilikuja nkapata shida moja, yaani iliniperekea kupata stress, anxiety na totally ubnomal.
Sijakaa Sawa mwezi wa 12 nkafukuzwa kazi, aisee niliumia, nilikumbwa na stress sijawai pata,
Mwezi wa kwanza nkaachwa na mpenzi wangu niliyempenda kwa dhati.
Basi baada ya kufukuzwa kazi niliamua kujiajiri na kuanzisha bihashara, mungu anasaidia Hali sio mbaya.
Sasa kutokana na stress za kupoteza kazi, na stress za kuachwa, na stress za bihashara, yaani nkiwaza kidogo au kuwa na hasira, moyo unanidunda saaaaaaana, afu mtu akiniudhi kidogo moyo unanidunda saaaaana, yaaani mapigo ya moyo yanaenda mbio kinyama
Juzi nilipata mwanamke, wakati wa sex, during second ejaculation yaani niliishiwa pumzi nilidhani ntakufa au kuzimia.
Hospital sijaenda, Ila hii Hali ya mapigo ya moyo kwenda mbio Mara kwa Mara Ni magonjwa ya moyo au Ni pressure.
Wakuu ntawezaje kutibu hii hali, maana usiku naweza shikwa na mapigo ya moyo unaweza dhani moyo utachomoka, afu ukishapoa ntaskia maumivu kwa ndani badae.
Nifanyeje ndugu zangu, msaada tafadhali
Wasiwasi,stress, zitaniua
Nimeambiwa moyo umevimbaN
NENDA HOSPITALIIII kapime Kisha uje na majibu hapa tukushauri zaidi