Sijui ni moyo au pressure, msaada wa haraka

Sijui ni moyo au pressure, msaada wa haraka

mkuu hauwekagi mikeka kwa mhind kweli,maana ndo presha ilikobakia ayo mengine n ziada tuu
 
Pole sana hii hali ilinipata mwaka jana
Moyo ulikuwa unaenda mbio sana hasa nilikasirika au kuwa na mawazo ,lakin hiyo hali imepotea kabisa
Nenda kapime kifua ,na moyo
 
Pole sana hii hali ilinipata mwaka jana
Moyo ulikuwa unaenda mbio sana hasa nilikasirika au kuwa na mawazo ,lakin hiyo hali imepotea kabisa
Nenda kapime kifua ,na moyo
Nshapima, nimeambiwa moyo unapanuka,nimepewa dawa
 
Back
Top Bottom