Sijui ni moyo au pressure, msaada wa haraka

Sijui ni moyo au pressure, msaada wa haraka

Subiri majibu ya madaktari kwanza, kuna magonjwa ya kurithi ya moyo hasa kwa jamii za Afrika na Asia, Kuna life style na maradhi tu yanaweza kutokea labda kwa msongo wa mawazo.
Nimeambiwa moyo umeanza panuka
 
Kazi,mwenza na pesa ni vitu vya kupita tu. Ukipata leo jua kuwa ipo siku utakosa ni asili ya maisha. Usijitese bure ukafa kabla ya siku zako.
Mimi huwa naamini litokee baya au zuri yote ni sehemu ya maisha.
 
Wakuu napitia hali ngumu Sana.

Mwezi wa 11, nilikuja nkapata shida moja, yaani iliniperekea kupata stress, anxiety na totally ubnomal.

Sijakaa Sawa mwezi wa 12 nkafukuzwa kazi, aisee niliumia, nilikumbwa na stress sijawai pata,

Mwezi wa kwanza nkaachwa na mpenzi wangu niliyempenda kwa dhati.

Basi baada ya kufukuzwa kazi niliamua kujiajiri na kuanzisha bihashara, mungu anasaidia Hali sio mbaya.

Sasa kutokana na stress za kupoteza kazi, na stress za kuachwa, na stress za bihashara, yaani nkiwaza kidogo au kuwa na hasira, moyo unanidunda saaaaaaana, afu mtu akiniudhi kidogo moyo unanidunda saaaaana, yaaani mapigo ya moyo yanaenda mbio kinyama

Juzi nilipata mwanamke, wakati wa sex, during second ejaculation yaani niliishiwa pumzi nilidhani ntakufa au kuzimia.

Hospital sijaenda, Ila hii Hali ya mapigo ya moyo kwenda mbio Mara kwa Mara Ni magonjwa ya moyo au Ni pressure.

Wakuu ntawezaje kutibu hii hali, maana usiku naweza shikwa na mapigo ya moyo unaweza dhani moyo utachomoka, afu ukishapoa ntaskia maumivu kwa ndani badae.

Nifanyeje ndugu zangu, msaada tafadhali

Wasiwasi,stress, zitaniua
Khaaah... wewe una Boeing 787 unashindwa kupanda hiyo ndege ikupeleke Hospital!!
Pole .. kama ni mwislam nakuambia "Mswalie SAW"
 
Nimeambiwa moyo umeanza panuka
Pole sana mkuu...Je, kufuatana na daktari alivyokwambia, je hilo swala linatibika?, na tiba yake nini?..au huwa halitibiki linakuwa ni swala la moja kwa moja?..naomba msaada wa maelezo.
 
Kwa tatizo hili naweza kukusaidia,amini utarejea kwenye afya yako.
Nicheki 0678640098
asante kwa namba, lakini unaonaje ukiweka hapa maelezo kuhusu hiyo hali ili tuweze kufahamu nakuelewa kiundani..Dalili zake, chanzo chake na njia za kujikinga..Hii itasaidia hata kuwaelimisha wengine.
 
hii ni nini mkuu?..inasababishwa na nini?..na je inatibika na kupona kabisa?...Naomba muongozo kiongozi.
Cardiomegaly (kutanuka kwa moyo) ni matokea ya kuta za moyo au mishipa ya moyo kufanya kazi kuliko uwezo wake wa kawaida yaani umeuoverload moyo.

Wataalamu wanasema, cardiomegaly sio ugonjwa bali ni matokea ya moyo kufanya kazi kubwa,maradhi ya moyo including high blood pressure mwilini au katika mishipa inayounganisha mapafu na moyo.

Na wakati mwingine tatizo hili hurithiwa au kuzaliwa nalo.Tatizo hili linatibika kwa tiba mbadala.

Japo matibabu yake uenda mbali mpaka mtu anaweza kufanyiwa upasuaji kuondoa sehemu yenye itilafu au kupandikizwa moyo mpya.
 
asante kwa namba, lakini unaonaje ukiweka hapa maelezo kuhusu hiyo hali ili tuweze kufahamu nakuelewa kiundani..Dalili zake, chanzo chake na njia za kujikinga..Hii itasaidia hata kuwaelimisha wengine

asante kwa namba, lakini unaonaje ukiweka hapa maelezo kuhusu hiyo hali ili tuweze kufahamu nakuelewa kiundani..Dalili zake, chanzo chake na njia za kujikinga..Hii itasaidia hata kuwaelimisha wengine.
Moja ya dalili hatari za tatizo hili ni pamoja na;

1️⃣Kupumua kwa shida sana

2️⃣Kujaa na kuvimba kwa miguu.

3️⃣Kifua kubana na

4️⃣kupoteza fahamu.

Dalili zingine za moyo kutanuka ni pamoja na Vidole kufa ganzi na kukakamaa, kuishiwa nguvu na kizunguzungu, mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana,moyo kulipuka mara kwa mara,miguu kuwa ya baridi, maumivu kwenye chemba ya moyo, kuongezeka uzito na kuwa na tumbo kubwa.
 
Nilikuwa nikitembea kwa spidi kidogo moyo ulikuwa unauma jasho likanitoka mpaka nikae nipumzike kwa muda.....
tembea yangu ilikuwa taratibu sana....
vile vile nilikuwa nikilala usiku nilikuwa napata maumivu makali ya moyo......
lkn vipimo havikuonyesha tatizo lolote..
sema mm mwenyewe nikajiongeza kuna mazoezi flani ya misuli ya moyo nilianza kufanya sasa niko poa kabisa
na ninakimbia kwa speed road sasa hv...
mazoezi gani hayo mkuu..unaweza kusaidia wengi
 
mazoezi gani hayo mkuu..unaweza kusaidia wengi
Upper body exercises pamoja na aerobic....
sijui nitoe mfano wa namna ipi nieleweke but ni mazoezi yanayosaidia kutanua misuli ya moyo
unclog artery exercises......
hata uki google kwenye yutube unaweza kuyapata
 
Upper body exercises pamoja na aerobic....
sijui nitoe mfano wa namna ipi nieleweke but ni mazoezi yanayosaidia kutanua misuli ya moyo
unclog arterie exercises......
hata uki google kwenye yutube unaweza kuyapata
Asante mkuu..Nitayacheki
 
➡️Kudhibiti ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi.

➡️Kupunguza ulaji wa wingi wa mayai na maziwa.

➡️Matumizi mengi ya chumvi kwenye mboga

➡️Kudhibiti kupanda kwa shinikizo la juu la damu

➡️Kudhibiti sukari

➡️Kutotumia pombe au kahawa

➡️Tumia mafuta kiasi kwenye mboga/kuandalia chakula mfano mafuta ya alizeti

➡️Kupata mapumziko ya kutosha kwa siku(masaa 8 au zaidi kwa siku)

➡️Kutumia mbogamboga za majani na matunda unazopendelea katika kila mlo.

➡️kufanya mazoezi ya viungo/kukimbia kwa walau dk 45 kwa siku.

➡️Kujiandikisha kwenye kliniki ili kupata uchunguzi wa mara kwa mara.

Pamoja na yoteee hiyo itasadia kupunguza makali ya tatizo japo tatizo litaendelea kuepo daima.

Wapo wengne wanatumia dawa ya kupunguza moyo mzigo kama vile lasix n.k
Namatumizi hayo hudumu ndan ya uhai wake wote.

TIBA IPO,UNAPONA KABISA
 
Cardiomegaly (kutanuka kwa moyo) ni matokea ya kuta za moyo au mishipa ya moyo kufanya kazi kuliko uwezo wake wa kawaida yaani umeuoverload moyo.

Wataalamu wanasema, cardiomegaly sio ugonjwa bali ni matokea ya moyo kufanya kazi kubwa,maradhi ya moyo including high blood pressure mwilini au katika mishipa inayounganisha mapafu na moyo.

Na wakati mwingine tatizo hili hurithiwa au kuzaliwa nalo.Tatizo hili linatibika kwa tiba mbadala.

Japo matibabu yake uenda mbali mpaka mtu anaweza kufanyiwa upasuaji kuondoa sehemu yenye itilafu au kupandikizwa moyo mpya.
Nafahamu watu wengi wenye tatizo hili walitibiwa kwa dawa za hospital sahiv wako vizuri tu,,, na wengne walikuwa na Hali mbaya Sana Kuna dawa Kama 3 unameza moyo unajirudi
 
Wakuu napitia hali ngumu Sana.

Mwezi wa 11, nilikuja nkapata shida moja, yaani iliniperekea kupata stress, anxiety na totally ubnomal.

Sijakaa Sawa mwezi wa 12 nkafukuzwa kazi, aisee niliumia, nilikumbwa na stress sijawai pata,

Mwezi wa kwanza nkaachwa na mpenzi wangu niliyempenda kwa dhati.

Basi baada ya kufukuzwa kazi niliamua kujiajiri na kuanzisha bihashara, mungu anasaidia Hali sio mbaya.

Sasa kutokana na stress za kupoteza kazi, na stress za kuachwa, na stress za bihashara, yaani nkiwaza kidogo au kuwa na hasira, moyo unanidunda saaaaaaana, afu mtu akiniudhi kidogo moyo unanidunda saaaaana, yaaani mapigo ya moyo yanaenda mbio kinyama

Juzi nilipata mwanamke, wakati wa sex, during second ejaculation yaani niliishiwa pumzi nilidhani ntakufa au kuzimia.

Hospital sijaenda, Ila hii Hali ya mapigo ya moyo kwenda mbio Mara kwa Mara Ni magonjwa ya moyo au Ni pressure.

Wakuu ntawezaje kutibu hii hali, maana usiku naweza shikwa na mapigo ya moyo unaweza dhani moyo utachomoka, afu ukishapoa ntaskia maumivu kwa ndani badae.

Nifanyeje ndugu zangu, msaada tafadhali

Wasiwasi,stress, zitaniua

Yani bado haujafika hospitali mpaka sasa hivi? Unataka tuu msichana mdogodogo aje kulaumiwa? God forbid
 
Bila Shaka Umepewa dawa
Bila Shaka umeenda hospitali inayo eleweka au ya serikali Je Ni Aina gani ya dawa Umepewa.
Nimepewa dawa mbili, nameza kamoja kila siku, moja Ni Lino..... Nyingne nimesahau
 
Back
Top Bottom