Mchina huyo anadandia shughuli asizoziweza.
Heh. Afu umepotea. Nimekumisi sana aisee.
na hao wenye picha hapo juu wanatumia mchina?Mchina huyo anadandia shughuli asizoziweza.
Mkwe tabia ya usahaulifu umeianza lini? Angalia usije ukamsahau mpaka Yesu. Mkweo hajambo ila chonde usije ukasahau hujamaliza mahari ujue.mmmmhhhhh babu kulikoni?
kweli umepotea sana, yaani huwezi amini mkwe nilishasahau kama una-exist.... khaaaaaa, kupotea gani huko?
hajambo mkwe wangu Matesha? msalimu mamake pia
umeona eeeh!Ha hahaaaa, kunguru mwoga shosti......ila kwa kweli hizi pics mi naona kabla ndo ilikuwa powa sana,,,ila baada lo...wamezeeka kabla ya siku zao
umeona eeeh!
yaani hakuna hata moja ambayo baada anaonekana bomba, yaani wote walikuwa bomba kabla.....
halafu shosti, mi naona rafiki yangu BAK kaamua tu kuwaharibia wachina soko lao.......
kweli kwenye hizo picha hapo juu unaona kuna ambaye atakuwa katumia mchina?
mahari hawamalizagi mkwe......Mkwe tabia ya usahaulifu umeianza lini? Angalia usije ukamsahau mpaka Yesu. Mkweo hajambo ila chonde usije ukasahau hujamaliza mahari ujue.
Hebu ongea na mzee aache uvivu atumie kipaji alichopewa akukabidhi kiumbe mwingine kwa tumbo. Mkweo nakosa kazi ya kufanya huku ujue
mahari hawamalizagi mkwe......
mimi mwenyewe pamoja na kuwa na wakwe zako mahari bado inadaiwa, sembuse huyo ambaye bado hatujamchukua?
mkwe unatamani mada kesi? yaani umri huu ni wa kurudi tena leba wodi? unataka niingie kwenye takwimu za maternal mortality?
rafiki hapo ndo ujue hakuna kipodozi cha china wala cha us kinachofaa..... vyote ni sumu tu......Wachina wametuharibu sisi wa bongo lakini hao kwenye picha naona type za U.S type za U.K hivi..sijui wmeponzwa na nini?
mkwe, mi nakumbuka ile siku kanisani Padre alituambia tukaijaze dunia, lakini katika mahubiri yake alisisitiza hilo neno halituhusu sisi wawili tu..... ni kwa kila mtu.Mkwe bana nani alikudanganya ng'ombe hazeeki maini? Hebu ungana nami tuijaze dunia Yesu afurahi.
rafiki hapo ndo ujue hakuna kipodozi cha china wala cha us kinachofaa..... vyote ni sumu tu......
yaani najisikiaje raha ninapoweza kuoga tu na kwenda harusini bila kupaka chochote usoni na nikajisikia poa kabisaaaaaa.
kuna watu hawatoki vyumbani kwao bila poda...... haka kama kuna hg wa nyumba ya pili tu katumwa kumpa ujumbe..... inakuwa ni utumwa fulani hivi
Wachina wametuharibu sisi wa bongo lakini hao kwenye picha naona type za U.S type za U.K hivi..sijui wmeponzwa na nini?
ha haaa, sheshe ndo linaanziaga hapo.........Umeona eee, yaani tuna mentality kwamba uzuri ni weupe....yaani utakuta mtu mweusi tiii....usionane nae mwaka...ukuja kukutana nae lazima umuulize kumbe wewe ni nani vileeee...maana kabadilika...coconut oil yatosha lol
Chezeya mchina weye!!!! Wanaingiza bidhaa kwenye nchi za watu zinaonyesha Made in US/UK kumbe zinatoka kule kule kwenyewe!!!