Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

Pole sana dada yangu..jaribu kuwaona wataalamu wa macho labda kuna tatizo.
asante mdogo wangu.....
kuna kipindi nilifanya hivyo ila nikajikatia tamaa tu. Ingekuwa yanawasha muda wote labda ningejua ni tatizo, sasa hii ya kuwasha muda wa kulala tu!
 
asante mdogo wangu.....
kuna kipindi nilifanya hivyo ila nikajikatia tamaa tu. Ingekuwa yanawasha muda wote labda ningejua ni tatizo, sasa hii ya kuwasha muda wa kulala tu!

Au pengine unajipa mda mfupi sana wa kupumzika i mean kulala
 
Au pengine unajipa mda mfupi sana wa kupumzika i mean kulala
sidhani. mbona ninapoamka yanakuwa bomba kabisa na nashinda kutwa nzima safi.....
usingizi ukininyemelea tu yanaanza
 
Sidhani kama hilo ni tatizo. Maana umekua na hali hiyo tangu utoto sasa ni vema ukajikubali tu kua wewe ndivyo ulivyo. Unajua zipo tabia nyingi za kitoto ambazo tunakuwa nazo na zingine tukiwa wtu wazima zinatuacha. Chukulia mfano tabia ya kulia, yaani mimi huwa inanitesa sana. Siipendi kabisa lkn nimejaribu kujizuia nimeshindwa nimeamua kujikubali tu.
 
huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani....
Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho yananiwasha sana, kama vile wafanyavyo watoto wachanga.
yaani kwa jinsi yanavyowasha, ningekuwa mtoto ningekuwa nalia, just like watoto wanavyoliaga wanaposhikwa na usingizi.....
nakumbuka wakati nipo boarding school wenzangu walikuwa wananicheka sana ninaposhikwa na usingizi,,,,, walikuwa wananitania kababy......
Ukweli sielewi hii inasababishwa na nini.... mbona wenzangu hayawapati haya?
mtani wangu watu8, kuna chembe ya maswala ya kiafya kuhusu hili?
naomba niwaulize pia measkron, King'asti, Dr. Riwa na matabibu wengine
hata ushauri wa kimitishamba wa MziziMkavu unahitajika
hata wengine ambao siyo matabibu naomba michango yenu kuhusu hili

madam ni jambo la kawaida sana ila ipo miti shamba ya kupunguza hiyo miwasho
 
Kuna mtu hapa JF aliniambia tiba ya ugonjwa kama huo ni kutembelea lile Jukwaa la chini kabisa (Note that huwa mimi silitembelei asilani!!). For more clarification muone Madame B.

Kama hutapona kwa muda wa wiki moja jua uzee umeingia, na uzee si ugonjwa. Ila inaumaje kuwaona warembo wabichi wanakonyezwa barabarani lakini wewe hata sonyo hupati!
 
Last edited by a moderator:
........Tena macho yakiwasha washa usingizi wake mtamuu...ilikua inanitokea nikiwa prepo kama nimechoka kusoma
 
Chezeya kutoboa weye!!!!...lazima macho yawashe ati!!!..Aisee mie siku mbili last week Alhamisi na Ijumaa nikajifanya kuangalia movie home kuanzia saa sita za usiku hadi saa zote na nikaamka mapema. Jmosi nikawa na wageni hivyo nikashindwa kulala mchana, pamoja na hayo si mpenzi wa kulala mchana, kisha siku hiyo nikajifanya kwenda movie iliyoanza saa nne za usiku basi nusu ya movie nilikuwa nimeuchapa 🙂🙂 acha njemba zinicharure 🙂🙂 lakini pamoja na yote hayo macho hayakuwasha hata chembe ila ile movie lazima niione tena 🙂🙂

huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani....
Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho yananiwasha sana, kama vile wafanyavyo watoto wachanga.
yaani kwa jinsi yanavyowasha, ningekuwa mtoto ningekuwa nalia, just like watoto wanavyoliaga wanaposhikwa na usingizi.....
nakumbuka wakati nipo boarding school wenzangu walikuwa wananicheka sana ninaposhikwa na usingizi,,,,, walikuwa wananitania kababy......
Ukweli sielewi hii inasababishwa na nini.... mbona wenzangu hayawapati haya?
mtani wangu watu8, kuna chembe ya maswala ya kiafya kuhusu hili?
naomba niwaulize pia measkron, King'asti, Dr. Riwa na matabibu wengine
hata ushauri wa kimitishamba wa MziziMkavu unahitajika
hata wengine ambao siyo matabibu naomba michango yenu kuhusu hili
 
Efpii bora tuoane tu maana na mimi nawashwaga hivo hivo.....we are made for each other,si ndio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom