sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

Smile wewe m-pinpoint unaetaka, mtangaze, PM itafuata kutoka kwake, usiwe na hofu
hadi nimewaweka kwenye screen saver yangu wananipa raha hapa we acha tu
 
heheheeee natumaini na wewe utachangamkia
hao not too vijana ndo wazuri, weshamaliza mahangaiko ya uvulana!!

Hehehe mie kwangu wako nje ya viwango

Ila Smile afanye faster achukue not too kijana mmoja

😀
 
Hehehe mie kwangu wako nje ya viwango

Ila Smile afanye faster achukue not too kijana mmoja

😀

hivyo viwango inabidi virudishwe ndani ya mstari husika sasa...
 
haya haya wadada changamkeni! Ila kwa mionekano hiyo lazima wana watu wao lol
 
attachment.php

huyo bi dada yuko mwenyewe, wadada wengine mbona hakuna?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom