sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

Hebu ngoja kwanza, wee endelea na yule aliyekutungiaga ile rap, ukiingia huku utazidi ku narrow chances za Smile kuondoka na not too kijana. Upinzani unaongezeka, Michelle kapiga mkwara tayari....

Hapo chacha! Bora nitulie tu huenda safari hii nikapata kwa lugha ya mapenzi! 😀

Mpaka sasa Smile yupo hatarini kunyang'anywa tonge mdomoni!

Hehheeheh
 
Yani nitapamba na Smile mpaka mwisho...mipango nimeanza saa nyingi, smile labda anishinde maneno tu🙂)

wewe vp bht, bado unafanya analysis?
hehehee nimependa hiyo determination yako, karibu nahamia timu yako, I am always in a winning team...lol!
Aaah Belinda mi mshangiliaji tu hapa...hehehee!
 
Hapo chacha! Bora nitulie tu huenda safari hii nikapata kwa lugha ya mapenzi! 😀

Mpaka sasa Smile yupo hatarini kunyang'anywa tonge mdomoni!

Hehheeheh
acha tu hapo preta,husninyo.zinduna.mpoleee lizzy na wengineo hawajaja.nitasalimika kweli?
 
hehehee nimependa hiyo determination yako, karibu nahamia timu yako, I am always in a winning team...lol!
Aaah Belinda mi mshangiliaji tu hapa...hehehee!
hana lolote huyo just watch the match
 
loh hata wewe ndugu yangu? lkweli kisicho rizki hakiliki
ntahama timu yako mimi ohoo! Mbona unamkaribisha roho wa kushindwa? Yaani unamuogopa michelle hata hajaanza mashambulizi?
 
Namba 3 kutoka kushoto ni bwana mkubwa mwenyewe. Na huyo mdada ana muelekeo wa kama vile.... Russian Roulette..????
 
Hapo chacha! Bora nitulie tu huenda safari hii nikapata kwa lugha ya mapenzi! 😀

Mpaka sasa Smile yupo hatarini kunyang'anywa tonge mdomoni!

Hehheeheh
Hehehee si lazima bana hebu hata live chicken na a suck of charcoal, ikubali tu...
Lol!
Binti smile anajikakamua, ila hajachacha naye!
 
nyuma ya pascal mayal kuna jamaa kavaa miwani, namfahamu kasoma ardhi university, sijui anatumia id gani hapa.

tena nimemkumbuka na jina, akiona post hii ani pm then tuwasiliane... siku nyingi kaka.... tangu THIS
 
Hebu ngoja kwanza, wee endelea na yule aliyekutungiaga ile rap, ukiingia huku utazidi ku narrow chances za Smile kuondoka na not too kijana. Upinzani unaongezeka, Michelle kapiga mkwara tayari....

Namaanisha bht, sipigi mkwara,huyu Smile ana speed ya ajabu...nimeona nimueleweshe mapema,tusisumbuane.....!
 
Mlifanya vema sana wadau, pamoja mmoja mmoja
 
Namaanisha bht, sipigi mkwara,huyu Smile ana speed ya ajabu...nimeona nimueleweshe mapema,tusisumbuane.....!
yeye ndo wa kuamua bwana.usimgande kijana wa watu ka kupe.acha tumfaidi.sharing is caring michele loh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom