sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

so na wewe unataka kujisevia
ikiwezekana dia, bt kuna m2 anasema eti mumewe sijui vp uyo nae. maana nami nimempenda huyo huyo lol.
akubali mumewe nyumban kijf awe mume we2 lol.
 
Kumbe kuna kujuana humu jf ndo maaana post zangu hazina wateja!

Kizuri chajiuza, m'baya unajitembeza. Acha kuandika pumba utaonajinsi tunavyomiminika kama kumbikumbi wameona taa. Ona tu avatar yako, inaonesha unapenda kuinspaya watu kwa lazima
 
ikiwezekana dia, bt kuna m2 anasema eti mumewe sijui vp uyo nae. maana nami nimempenda huyo huyo lol.
akubali mumewe nyumban kijf awe mume we2 lol.
sio mume wake ni mpenzi wangu shosti kaa pembeni pls
 
Mara mkewe ati kaibuka!

Wanawake hata mkiwezeshwa hamuwezi jamani!!

Ingelikuwa hapo picha za wanawake, nakwambia saa hizi waliopo kwenye picha wote wangekuwa weshapata PM za kufa mtu

hahahaaa lakini mpaka hapo hawa wadada wameonyesha mfano wa 'kuigwa'...lol!!!

halafu ss huyu Glady simuamini amini maana Michelle ndo aliwahi kutoa tahadhari, sasa yeye kilichomshtua na ktangaza ghafla ni nini? wasiwasi eeh...lol!!

Gee uliona mbali, unaona mpambano, ni hatari kwa amani ya JF
 
Nilisema mie, amani inaweza potea mara moja humu ndani .....hahahha

Lakini wanawake hatupendani, hebu zisambazeni kwa wenzenu hizo ID kila mmoja ajaribu bahati yake.....

Masuala ya kuwahi baadae, Bey ushasema kuwa mhusika ana haki ya kisheria ya kuchagua amtakaye, hii ya na tukose wote haijakaa fresh
 
  • Thanks
Reactions: bht
Akina kaka kwenye picha mpo juu, ahsanteni sana kwa kutuwakilisha. Mbarikiwe sana
 
Halafu nimegundua hawa wakaka wapo msibani

May God give them strength!!
 
hahahahahaha! unadaiwa hela ya nyali na zuena, halafu wee ulikuwa mzee wa mitungo kwa mama mingoi. loh! kafifty amepoteza mwana.

kwa mama mingoi nilikuwa na bili ya mandazi tuuu, habri ya khamsini nilisikia ni mgonjwa sana...... ila soja ndio nilipata taarifa za msiba pamoja na Sika
 
too late my dia

There's never too late kumfukuzia umtakae..unanionea wivu shosty!!

Haya Belinda wa Man U, tusubiri kipenga cha mwisho....i hope Ferguson hajapanga matokeo leo....nitapiga 6-0.....!!

Kwa jinsi Arsenal wanavyofungwaga basi wewe umeshashindwa ligi ya ''smilling guy''..Nafurahi tulivyo wapinzania kuanzia kwa f/ball mpaka huyu kaka matata!!
 
There's never too late kumfukuzia umtakae..unanionea wivu shosty!!

Kwa jinsi Arsenal wanavyofungwaga basi wewe umeshashindwa ligi ya ''smilling guy''..Nafurahi tulivyo wapinzania kuanzia kwa f/ball mpaka huyu kaka matata!!
believe me or not i have the chick already in my empire au ni kupruvie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom