Hakuna anayemwiga mwenzake hapo. Wameumbwa hivyo,lakini hao wa kijani walitakiwa waache kufanana na hao wenye vichwa vilivyochongoka lakini kwa bahati mbaya wameshindwa.

Hawa ndugu moja hawaigani ni utamaduni wao hao
Wameigana maana ni wamoja hao. Naona Mariam Kisangi, Asumpta Mushana na Hawa Ghasia wakishangilia baada ya hotuba ya Prof. Tezi kuhusu escrow. CCM OYEEEEE!!!!!!!!!!!