Ni nani sasa anakamandi vikosi vya IRGC?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,664
Reaction score
5,468
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?

Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?

Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
 
Kwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.

Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m

Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
 
Hakika mkuu
 
Hapo unafanya assumption kwamba China ataipiga Taiwan sasahivi. Wakati yeye yupo busy na uchumi, kukuza jeshi, uzalishaji na soft power duniani.

Kama China angetaka kuivamia Taiwan kipindi cha Biden angeweza.
 
Atakuwa mrithi wake gallow bird
 
Hapo unafanya assumption kwamba China ataipiga Taiwan sasahivi. Wakati yeye yupo busy na uchumi, kukuza jeshi, uzalishaji na soft power duniani.

Kama China angetaka kuivamia Taiwan kipindi cha Biden angeweza.
Uma akili za ki CCM eeh? Unadhan kwann Marekan alianza kuipiga Venezuela?? Ni sababu alikua anatafuta Njia mbadala ya MAFUTA na GAS.

alipopata uhakika huo, Kaka kumchapa IRAN ambaye ndie mfadhili Mkubwa wa Mafuta na Gas wa Uchina .

MAREKAN NA NATO, WALISHAITAMBUA CHINA KAMA "KIKWAZO KUU"... unaelewa maana ya hii??? Ni kwamba China aruke anavyoweza NI LAZIMA AANGUSHWE TU KWA SABABU KWAO NDIO KIKWAZO KIKUU.

Saa hii wanamchapa Muiran, wakifanikiwa kufanya Mabadiliko ya Utawala, wakaweka mtu wao, maana yake nini??.

Mafuta na Gas kwenda kwa wachina yatasimama kama yalivyosimama ya Venezuela.

Nchi Marafiki wa UCHINA na URUSI (BRICS) zitaondoa USHAWISHI kwa sababu hazitataka Kukumbwa na majanga kama ambayo sasa Venezuela, Cuba ,wanapitiaa.

China haitóweza anzisha vita na TAIWAN kwa sababu hawatakua na Utawala wa Mafuta kutosha kuendesha vita

CHINA Njia yake pekee alonayo ni Kuanzisha Vita muda huu ambao Marekan Yuko busy na Iran, Ukraine.

Akisubiri hili lipite, mamaweeeeee Atachapika vibaya sana naarekan wenyewe kupitia TAIWAN ndio wanaltaanzisha hiyo VITA.

Ngoja ajifanye yupo busy na UCHUMI na kua supapawa, atangushwa TU , Ukiona mwenzio ananyolewa 🤣🤣
 
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?

Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?

Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Hakuna wakuongoza ndo maana Wana rusha rusha hovyo makombora kwenye nchi za watu wakipiga mahoteli, viwanja vya ndege na makazi ya watu
Iran wame vuna walicho kipanda
 
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?

Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?

Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Oktoba 7, 2023 was a turning point, Iran na Hamas walifanya a wrong calculate move.
 
Kwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.

Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m

Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Ana best renewable technology na electricity kuliko nchi zote za beberu combined, electric cars anaongoza dunia nzima,bado anahitaji mafuta lakini sio kitu kinaweza kumrudisha nyuma, oil is a dying business anyway
 
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?

Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?

Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Kati ya hawa mmoja wao atachaguliwa na kuwa Supreme leader wao maana Ayatollah alisema ikiwa atakufa, mmoja ya hawa aliowateua aongoze taasisi.
IMG-20260301-WA0009.jpg
 
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?

Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?

Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Kati ya hawa mmoja wao atachaguliwa na kuwa Supreme leader wao maana Ayatollah alisema ikiwa atakufa, mmoja ya hawa aliowateua aongoze taasisi.View attachment 3550451
 
Uma akili za ki CCM eeh? Unadhan kwann Marekan alianza kuipiga Venezuela?? Ni sababu alikua anatafuta Njia mbadala ya MAFUTA na GAS.

alipopata uhakika huo, Kaka kumchapa IRAN ambaye ndie mfadhili Mkubwa wa Mafuta na Gas wa Uchina .

MAREKAN NA NATO, WALISHAITAMBUA CHINA KAMA "KIKWAZO KUU"... unaelewa maana ya hii??? Ni kwamba China aruke anavyoweza NI LAZIMA AANGUSHWE TU KWA SABABU KWAO NDIO KIKWAZO KIKUU.

Saa hii wanamchapa Muiran, wakifanikiwa kufanya Mabadiliko ya Utawala, wakaweka mtu wao, maana yake nini??.

Mafuta na Gas kwenda kwa wachina yatasimama kama yalivyosimama ya Venezuela.

Nchi Marafiki wa UCHINA na URUSI (BRICS) zitaondoa USHAWISHI kwa sababu hazitataka Kukumbwa na majanga kama ambayo sasa Venezuela, Cuba ,wanapitiaa.

China haitóweza anzisha vita na TAIWAN kwa sababu hawatakua na Utawala wa Mafuta kutosha kuendesha vita

CHINA Njia yake pekee alonayo ni Kuanzisha Vita muda huu ambao Marekan Yuko busy na Iran, Ukraine.

Akisubiri hili lipite, mamaweeeeee Atachapika vibaya sana naarekan wenyewe kupitia TAIWAN ndio wanaltaanzisha hiyo VITA.

Ngoja ajifanye yupo busy na UCHUMI na kua supapawa, atangushwa TU , Ukiona mwenzio ananyolewa 🤣🤣
CCM inaingiaje kwenye mgogoro wa mafuta baina ya China na Marekani? Then next time ukininukuu, ondoa hizo emoji za kucheka kwenye vitu havichekeshi.

China inanunua mafuta kuanzia kwa Russia, Saudi Arabia, Iraq, Malaysia, Oman, Brazil, Angola then ndio Venezuela na Iran zilikuwa zinaingia. Mafuta yapo kila kona duniani unanunua popote, unajua Iran au Venezuela ilikuwa ina-supply asilimia ngapi ya mafuta kwa China?
Unaongea as if hata 10% ilikuwa inafika.

Nafasi iliyoachwa wazi na Venezuela na Iran inazibwa na Urusi au Saudi Arabia bila kujenga mtambo mpya hata mmoja. Ni kitendo cha kuongea BPD.
 
Kwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.

Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m

Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Magharibi waiongoze dunia mara ngapi?
 
Kwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.

Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m

Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Wewe jamaa unaya chukulia mambo simple simple tu huyo Iran na Venezuela wanachangia asilimia ngapi ya importation ya mafuta kwa China ? Na nani anaongoza ? Na China ilikuwa ikifanya biashara na Maduro na Ayatollah au na Venezuela na Iran kiasi kwamba hata pasipo uwepo wao mikataba ya China itaendelea kuwepo jijibu mwenyewe
 
Ana best renewable technology na electricity kuliko nchi zote za beberu combined, electric cars anaongoza dunia nzima,bado anahitaji mafuta lakini sio kitu kinaweza kumrudisha nyuma, oil is a dying business anyway
China kwa miaka mitano amekuwa na average ya ukuaji wa kuagiza mafuta kwa about 2.6% ila mwaka wa tano kashuka kidogo uagizaji kwa 0.4% kulingana na previous year.
Mwaka huu projections zinasema China atakuwa na 57% ya magari ni EV, bado kuna malori yenye LNG kama waliyomuuzia Dangote.

China anaagiza mafuta sababu ya petrochemicals na yalikuwepo bei bwerere ya Iran na Urusi wenye vikwazo. Venezuela hifadhi ya mafuta yake ni ghali kuyachimba breakeven yake ni kubwa na yanahitaji uwekezaji, mitambo ya sasa ya kina Chevrons haina maintenance ndio hii walikuwa wanaambulia mapipa laki kadhaa ndio China alikuwa anataka.

Hasara ya haraka aliyonayo China ni kununua kwa bei ya soko la dunia. Iran ilikuwa inauza 80% ya mafuta yake China na kwa Yuan.
Jambo ambalo ni hasara kwa India pia, maana walikuwa wananunua mafuta ya Urusi yenye discount kwa kutumia shadow fleet, wanaya-blend kisha wanasema wamenunua kwingine wanawapiga bei ya soko la dunia wateja wengine ikiwemo Marekani. Kwahiyo option ya mafuta ya bei chini ya soko la dunia imebaki ni Urusi.

Otherwise mafuta yapo duniani. Ukitaka kuizuia China isinunue then good luck on you, anzisha naval blockade ambayo ni declaration of war tukuone.
 
Back
Top Bottom