Kwamba sisi ambao hatukufanikiwa kumaliza sekondari tuko gizani?!!hello JF,
nimeona mahali, statistics shows that those who finish/complete secondary education are 30% only.
staggering 70% are in the dark.
Sijui mna mawazo gani wanajamii kuhusu hili ….?
Nini kifanyike?
Hawakuzifanyia update hivi karibuni, jaribu kuangalia lini zilikuwa updated. Sidhani kama 30% tu ndio wanamaliza o level.Wikipedia..lol
Good girl.Ni kweli mkuu..ni za zamani 2014 ndio 7-17 hawakua enrolled..ngoja nitatafuta recent statistics..lol
japo elimu yetu haipo sawa kimtindo ila kumaliza vidato ni bahati kwa kweli..changamoto ni nyingi mimba,ukosefu wa ada,utoro,adhabu zisizistahiki kwa watoto na vingine lukuki...mixer wengine kukimbia umande
japan ndio nchi inayoongoza kwa mahudhurio bora duniani kwa 99%
vyuo sio tatizo ila hapa kilichpo ni kuboresha miundombinu ya sekondari ili graduating rate ipande vyuo mbona vipo vya kutosha tuNadhani tungekua na vyuo vingi,mtu anayemaliza elimu ya msingi aweze kusoma at entry level na kuwork her/him self up mpaka mpaka degree...
Huko Japan,system yao ikoje mkuu???nahisi wana vyuo vingi kuliko secondary schools???