Sijui mna mawazo gani wanajamii kuhusu hili ….?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,567
hello JF,

nimeona mahali, statistics shows that those who finish/complete secondary education are 30% only.

staggering 70% are in the dark.

Sijui mna mawazo gani wanajamii kuhusu hili ….?

Nini kifanyike?
 
hello JF,

nimeona mahali, statistics shows that those who finish/complete secondary education are 30% only.

staggering 70% are in the dark.

Sijui mna mawazo gani wanajamii kuhusu hili ….?

Nini kifanyike?
Kwamba sisi ambao hatukufanikiwa kumaliza sekondari tuko gizani?!!
 
Hizo takwimu umezipata wapi? Labda zilikuwa takwimu za 2000 huko au takwimu za waliosoma sekondari ya adivansi.
 
japo elimu yetu haipo sawa kimtindo ila kumaliza vidato ni bahati kwa kweli..changamoto ni nyingi mimba,ukosefu wa ada,utoro,adhabu zisizistahiki kwa watoto na vingine lukuki...mixer wengine kukimbia umande:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

japan ndio nchi inayoongoza kwa mahudhurio bora duniani kwa 99%
 
Hawakuzifanyia update hivi karibuni, jaribu kuangalia lini zilikuwa updated. Sidhani kama 30% tu ndio wanamaliza o level.

Ni kweli mkuu..ni za zamani 2014 ndio 7-17 hawakua enrolled..ngoja nitatafuta recent statistics..lol
 
japo elimu yetu haipo sawa kimtindo ila kumaliza vidato ni bahati kwa kweli..changamoto ni nyingi mimba,ukosefu wa ada,utoro,adhabu zisizistahiki kwa watoto na vingine lukuki...mixer wengine kukimbia umande:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

japan ndio nchi inayoongoza kwa mahudhurio bora duniani kwa 99%

Nadhani tungekua na vyuo vingi,mtu anayemaliza elimu ya msingi aweze kusoma at entry level na kuwork her/him self up mpaka mpaka degree...

Huko Japan,system yao ikoje mkuu???nahisi wana vyuo vingi kuliko secondary schools???
 
vyuo sio tatizo ila hapa kilichpo ni kuboresha miundombinu ya sekondari ili graduating rate ipande vyuo mbona vipo vya kutosha tu

in case of Japan ni kwamba kama sikosei mtoto before hajaanza kusoma ile masomo seriousily {tuseme kama huku kwetu tunaita vidudu} waatoto ndio wanafundishwa maadili na heshima strictly mapema ndiyo maana wanahudhuria shule vzr na kumaliza kwa idadi kubwa kama walivyoandikishwa

nadhani hata sisi tunaweza kufanya hivi na ikaleta matunda
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom