Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,433
Hongera sana mkuu maisha ni kupambana
Wewe babu mwezi gani huuHahahaha huu ukarimu nilio nao, ntauzidisha mara mbili... 900 mara mbili itapendeza zaidi
Kumi na mbili kasoro tatu...Wewe babu mwezi gani huu
Hapo sawa sasa mandalizi yamekamilikaKumi na mbili kasoro tatu...
Loading....
Kwa 99%Hapo sawa sasa mandalizi yamekamilika
Naniluu za mbuzi zitaliwa za kutoshaKwa 99%
Kabisa kabisa.... nipelekee salamu kwa MrombooNaniluu za mbuzi zitaliwa za kutosha
Tunapeleka wote habari yakutumana ttafuta njiwaKabisa kabisa.... nipelekee salamu kwa Mromboo
Umesomeka vizuri sana...Tunapeleka wote habari yakutumana ttafuta njiwa
Mi nahangaika na kutafuta kreti...
Litakuwa duka la ushirikaniko kutafuta juice embe katoni
Litakuwa duka la ushirika