Sijui maisha ni bahati?

Mkuu hongera na wengine tumejitahidi Ila Kuna changamoto lakini tunazikabili
 
huna akili ndo maana huoni tofauti yeyote na athari za mabadiliko ya kiuchumi katika maisha yako.
 
Hongera kwa hatua ulizopiga.

Sio kudogosha juhudi zako lakini nahisi malengo au matarajio ya kitanzania yamewekwa chini sana. Yaani kijana akijituma kufanya ambavyo inastahili afanye na kufungua biashara atajadiliwa na kuitwa kwenye makongamano kana kwamba amegundua roboti au gari la kutumia umeme. Kama jamii tunapaswa kuwa hodari na kuweka malengo makubwa tunafarijiana kutekeleza ambavyo tayari tulipasswa kutimiza.
 
Maisha ni bahati kabisaaaa ukitaka kuamini angalia waliokuwa vilaza Darasani wanavyotoboa huko mtaani
 
Stori yako imenipa nguvu ya ajabu, mie nlikua na ndoto yakufungua Car Wash mda mrefu lkn leo nimeamua kununua mashine (Pressure washer) bila kujua ntapata wapi eneo la kufungua biashara lkn nnajiamini kuwa soon itajipa na ntamiliki car wash japo kaeneo kidogo..
 
Back
Top Bottom