Sijui maisha ni bahati?

duka limejaa mchele maharage mahind ngano na nafaka zingine. Hongera sana ila mi naamini kifanikiwa katika maisha ni bahati tu, juhudi ni msemo ili masikini azidi kutumika wapo waliokuwa na maduka makubwa kuliko lako ila walikutwa na majanga kama mvia za mafuriko kuibiwa na hata moto. Jitume utumike ila Maisha ni bahati ya mtu tu ndio maana kuna waziri anazidiwa kimaisha na mwalimu.
 
Back
Top Bottom