Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

Walimlilia sana Nkurunzinza wa Burundi,
 
Wewe mumeo hutosheki naye hadi unamuulizia Lissu? Ana mke yule.
 
Mzee alikuwa na propaganda sana.
Sijui lengo lake nini kuwa mwongo vile. Miradi yetu yote ni mikopo,, tunadaiwa lakini alitangaza ni fedha za ndani, na ni idadi kubwa ya watanzania wanaamimi hivyo hadi leo.
Sioni hata sehem ya kustahili sifa kubwa zaidi ya uonevu na unyanyasaji.
 
Mara ATCL inatengeneza faida bilion 28 kwa mwezi, kumbe ATCL inaingiza hasara tu tangu ianze.
Tunajiuliza: UONGO huu ulikuwa kwasababu gani? Kwa faida ya nani?
 
Reactions: SMU
Mipango yanakua kwenye maandishi ili akija kichaa anaweza kuyatekeleza siyo maamuzi ya mtu mmojammoja. Mnaodanganywa ni wengi sana; jioni njema.
Ukweli uko wazi kazi amefamya na mama keshasema nyie nani hadi mpinge ?
 
Hata Rais wa Iran anaechukiwa na Marekani akifariki leo akiwa madarakani lazima UN itamlilia. Its a formality
Mjinga tu wewe kwani marekani ikimchukia rais wa iran kwa hiyo ni kweli hafai? Sijui kama unajua iran ni nchi tulivu yenye amani na haki za kibinadamu kuliko marekani.
 
Wazungu wanafiki wanamsifia kinafiki.. umewahi kukaa nchi zao???hakuna mzungu anayenpenda mtu mweusi hata akiwa mkeo...
 
Mjinga tu wewe kwani marekani ikimchukia rais wa iran kwa hiyo ni kweli hafai? Sijui kama unajua iran ni nchi tulivu yenye amani na haki za kibinadamu kuliko marekani.
Kila mtu ni mjinga kwa nafasi yake.
Hata wewe pia. UN walimkosoa kwa Sera mbaya za kuminya demokrasia na kutumia njia za kienyeji kudhibiti korona.

Watampendaje?

Waafrika muwe na akili.
 
Eti kiongozi bora!!


Utekaji,
Uuaji,
Undemocratic,
Utumiaji nyungu,
Maendeleo ya vitu ili hali wananchi wanaumia,


Nilijua Mungu atatusaidia kumuondoa huyu mlevi madarakani.
 

kuna fununu kwamba ni beki tatu saaahv
 

Mnamchokoza akiwajibu mnaanza kulialia
 
Ambassador Patrick F. Kennedy
Senior Advisor for UN Management and Reform
New York, New York
April 16, 2021

AS DELIVERED

Thank you, Mr. President

On behalf of the government and people of the United States of America, I would like to begin by extending our deepest sympathies to the wife and children of the late President, Dr. John Pombe Magufuli, to his extended family and friends, and to all the people of Tanzania.

Gathering here today, we remember a man who took immense pride in leading Tanzania and who consistently reminded us of his country’s history as a leader in securing independence and promoting sustainable development across the continent of Africa. When President Magufuli assumed office in 2015, my government saw the sense of urgency he brought to the fight against corruption and heard his desire to improve the efficiency of the Tanzanian government. When he took steps to cut down the size of Presidential delegations, and to shrink his Cabinet, we took notice. We also took notice of Tanzania’s improvement in transparency metrics, and President Magufuli’s efforts to strengthen his government’s corruption accountability mechanisms. May his memory be a blessing for those commemorating his life and tenure.

His successor, President Suluhu Hassan, and her government, are in our thoughts during this difficult time of transition. The United States has a long history of partnership with the people of Tanzania. We stand with all the Tanzanian people as they seek to move forward, united in their determination to build a more democratic, healthy, and prosperous society. We are committed to working with Tanzania’s new leadership and support their efforts as they strive to build that society for all Tanzanians.

Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…