UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,501
- 7,700
Bwashee kama ngeli hazipandi ni afadhali kupotezea kuliko kujiaibishaPresident for ever? Huko ahera nako
anatawala?

Walimlilia sana Nkurunzinza wa Burundi,Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika.
Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna hayati Magufuli alivyokumbukwa na mabalozi kwenye baraza kuu la umoja wa mataifa kwa kile kilichotajwa kama mafanikio makubwa ya hayati Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Sifa kemkem zilimwagwa na wawakilishi wa mataifa yote ikiwa ni pamoja na yale ya kizungu ambayo Lissu amekimbilia kulowea akimwita hayati Magufuli kila jina baya kama vile muuaji dikteta etc.
Yafaa wazungu wapenda haki demokrasia na maendeleo kwa waafrika wamfukuze huyo kibaraka wa makampuni ya kinyonyaji ya kimataifa. Wamfukuze arudi kwao badala ya kuishi ulaya kama malaya wa kisiasa.
Wewe mumeo hutosheki naye hadi unamuulizia Lissu? Ana mke yule.Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika.
Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna hayati Magufuli alivyokumbukwa na mabalozi kwenye baraza kuu la umoja wa mataifa kwa kile kilichotajwa kama mafanikio makubwa ya hayati Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Sifa kemkem zilimwagwa na wawakilishi wa mataifa yote ikiwa ni pamoja na yale ya kizungu ambayo Lissu amekimbilia kulowea akimwita hayati Magufuli kila jina baya kama vile muuaji dikteta etc.
Yafaa wazungu wapenda haki demokrasia na maendeleo kwa waafrika wamfukuze huyo kibaraka wa makampuni ya kinyonyaji ya kimataifa. Wamfukuze arudi kwao badala ya kuishi ulaya kama malaya wa kisiasa.
Kila member wa UNSio kila kiongozi.
UN no UNITES NATION'S kuna mataifa yote Duniani.Kwahiyo leo mnawasikiliza UN mabeberu au hapa jina limebadilika mmewaita marafiki wetu wa maendeleo?
Mabeberu ni wabelgiji ambao ndio Makao makuu ya Umoja wa Ulaya!UN no UNITES NATION'S kuna mataifa yote Duniani.
Mabeberu ni wabelgiji!
Ukweli uko wazi kazi amefamya na mama keshasema nyie nani hadi mpinge ?Mipango yanakua kwenye maandishi ili akija kichaa anaweza kuyatekeleza siyo maamuzi ya mtu mmojammoja. Mnaodanganywa ni wengi sana; jioni njema.
Mjinga tu wewe kwani marekani ikimchukia rais wa iran kwa hiyo ni kweli hafai? Sijui kama unajua iran ni nchi tulivu yenye amani na haki za kibinadamu kuliko marekani.Hata Rais wa Iran anaechukiwa na Marekani akifariki leo akiwa madarakani lazima UN itamlilia. Its a formality
Wazungu wanafiki wanamsifia kinafiki.. umewahi kukaa nchi zao???hakuna mzungu anayenpenda mtu mweusi hata akiwa mkeo...Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika.
Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna hayati Magufuli alivyokumbukwa na mabalozi kwenye baraza kuu la umoja wa mataifa kwa kile kilichotajwa kama mafanikio makubwa ya hayati Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Sifa kemkem zilimwagwa na wawakilishi wa mataifa yote ikiwa ni pamoja na yale ya kizungu ambayo Lissu amekimbilia kulowea akimwita hayati Magufuli kila jina baya kama vile muuaji dikteta etc.
Yafaa wazungu wapenda haki demokrasia na maendeleo kwa waafrika wamfukuze huyo kibaraka wa makampuni ya kinyonyaji ya kimataifa. Wamfukuze arudi kwao badala ya kuishi ulaya kama malaya wa kisiasa.
Kila mtu ni mjinga kwa nafasi yake.Mjinga tu wewe kwani marekani ikimchukia rais wa iran kwa hiyo ni kweli hafai? Sijui kama unajua iran ni nchi tulivu yenye amani na haki za kibinadamu kuliko marekani.
Waliokufa njaa huwezi kuwajua.Aliekuambia wewe unazo akili na si mjinga nani ? Ufusadi ndio chakula ? Nani kafa njaa Tanzania?
Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika.
Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna hayati Magufuli alivyokumbukwa na mabalozi kwenye baraza kuu la umoja wa mataifa kwa kile kilichotajwa kama mafanikio makubwa ya hayati Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Sifa kemkem zilimwagwa na wawakilishi wa mataifa yote ikiwa ni pamoja na yale ya kizungu ambayo Lissu amekimbilia kulowea akimwita hayati Magufuli kila jina baya kama vile muuaji dikteta etc.
Yafaa wazungu wapenda haki demokrasia na maendeleo kwa waafrika wamfukuze huyo kibaraka wa makampuni ya kinyonyaji ya kimataifa. Wamfukuze arudi kwao badala ya kuishi ulaya kama malaya wa kisiasa.
Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika.
Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna hayati Magufuli alivyokumbukwa na mabalozi kwenye baraza kuu la umoja wa mataifa kwa kile kilichotajwa kama mafanikio makubwa ya hayati Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Sifa kemkem zilimwagwa na wawakilishi wa mataifa yote ikiwa ni pamoja na yale ya kizungu ambayo Lissu amekimbilia kulowea akimwita hayati Magufuli kila jina baya kama vile muuaji dikteta etc.
Yafaa wazungu wapenda haki demokrasia na maendeleo kwa waafrika wamfukuze huyo kibaraka wa makampuni ya kinyonyaji ya kimataifa. Wamfukuze arudi kwao badala ya kuishi ulaya kama malaya wa kisiasa.
Jesca pekee hatoshi.Ninamuunga mkono Lissu kuwa siwezi kumchekea nyani.
Anipige risasi 19 halafu nikupende?
Yena Lissu muungwana sana, ingekuwa mimi ningejitoa muhanga hata kwa Jeaca
Hivi zamani tulikuwa tunalipa sh ngapi hizo shule za kata?mi naonaga kama zilikuwaga bure pia toka zamani.Magufuli amewasadia wangapi kwa elimu bure miaka mitano, 10 miĺloni ndani ya miaka mitano.