pansophy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 502
- 320
Jamani waungwana naomba mchukue dakika chache kuitazama hii tovuti Shuledirect
Lengo hasa la Bi Faraja Kota ni lipi kufanya vitu kwa kukurupuka?
Mhe Mulugo naye bado anaendelea kufanya vitu kwa kukurupuka (Elimu yake inachangia) na kaitia doa wizara husika pamoja na waliompa dhamana kuwa hapo.
:bange::bange::bange: