Sijui kwanini simpendi Diamond na miziki yake

Huyo hamisa alimkosea mondi alipost picha wapo chumbani na mondi ukiachana na hapo alienda kwa mganga ili mondi ampende yeye pekee bahati mbaya video ikavuja.
Hiyo ilikuwa kabla ya mganga kabla hata uhusiano wao haujulikani kiivo inshu ya mganga si ya juzi hiyo ilikuwa kwenye kili music award
 
Team Domo wanamponda mleta mada wakati na wao ni wale wale.

Wanamchukia Harmonize, Aslay, Mavoko, AliKiba Kwa Kuwa Hawana Shobo Na Domo.

Mashabiki Wa Domo Hawana Akili.
 
Back
Top Bottom