Asili ya Mwanamke Mweupe wa Kiafrika alipotokea na Uzuri wa Mwanamke Mweusi au MAJI ya KUNDE

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
#KATIKA MAISHA YANGU SITAKUJA KUOA MWANAMKE MWEUPE MWAFRIKA.

Afrika hakukuwa na Wanawake weupe kabla ya Uhuru. Baada ya Uhuru Waarabu na Wazungu walio zaa na waafrika kipindi Cha Ukoloni na kuzaa watoto Chotara(Weupe wa kiafrika) na hao machotara wakazaa na Waafrika Weusi, na watoto hao walikuwa, nao wakazaliana na ndio Waafrika ngozi nyeupe tulionao leo.

Changamoto iliyopo kwa Wanawake weupe ni kuwa wao ni wachache na hivyo wanaume waliwapenda kwa Weupe wao, na hivyo wengine walianza kutumia miili Yao Kama biashara na ndipo na mwanzo wa Madanguro ulipoanzia hasa baada ya Uhuru kwa Nchi za Kiafrika. Watu walianza kuwaogopa Wanawake weupe maana ukioa mwanamke mweupe wa Kiafrika unakuwa umeolea wanaume wengine kwani kila mtu atamtaka Kimapenzi na ndio hata kuenea kwa UKIMWI kulitumika kupitia Wanawake wanaogombaniwa Kimapenzi. Ukitembelea Madanguro Afrika 90% ni Wanawake weupe wa Kiafrika ndio hutumika sio kwa kukosa Pesa Bali kwa tamaa ya Mali na kwa kutumia uzuri wao.

Wanawake wote Weusi na Weupe ni Wazuri tu isipokuwa kila mmoja anakuwa mrembo kulingana na anavyojiremba.Na ndio maana Taasisi za Usalama nyingi hutumia Wanawake weupe kuvunja Ndoa za watu na hata kukamata wahalifu. Na Wanawake weupe wamekuwa chanzo Cha maovu mengi barani Afrika,Na maofisi mengi mabinti weupe wa Kiafrika wamekuwa wakiwekwa mapokezi Kama kivutio kwa wateja na hii ndio imekuja kutengeneza kundi linaloitwa Machangudoa wa maofisini.

NB: Kuna haja ya kuunda Mfumo mpya wenye Haki kwa wote na Mfumo wa kulinda maadili ya Mwanamke mweupe Afrika.

"""""""*******

NAWAPENDA SANA MABINTI WAREMBO NA WANAWAKE WAZURI WEUSI NA MAJI YA KUNDE.HAWA NDIO MAMA AFRIKA ASILIA.

Ukiondoa Wazungu, nawapenda Sana mabinti na Wanawake Weusi(Black) na wale maji ya KUNDE(Brown). Hawa ndio wamebeba maana halisi ya Mama Afrika. DON NALIMISON najisikia Fahari kuwa Mwafrika MWEUSI maana naipenda asili yangu ya Uafrika. Na ndivyo navyo jisikia Fahari kuwa na Binti mrembo au Mwanamke mzuri mweusi au MAJI ya KUNDE. Ukipata MKE wa Kizungu na ukaoa matunda yake atakuzalia Mwafrika MWEUSI mwenzako, rejea Barack Obama, mama yake ni Mzungu na Baba ni Mwafrika MWEUSI mkenya lakini Mtoto kafata baba. Lazima tuwapende Mabinti zetu na Mama zetu wenye asili ya Uafrika asilia yaani ngozi Nyeusi au MAJI ya KUNDE.Hawa ndio zao la Ushindi, zao la Matumaini, zao la Familia, zao la Afrika@

****************

MABINTI WEUSI NA MAJI YA KUNDE NI FAHARI YA UREMBO.

Moja ya Wanawake walio Bora katika mahaba ni mabinti wa Weusi na maji ya KUNDE, hawa ndio zao la kuundanao familia hasa wale wanaojitambua. Kundi hili wameachwa chini na hivyo wengi hujidharau kwa kutojijua, Ukisomesha Binti mweusi utashangaa anakuja kuwa Profesa. Hii ni pia uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa Sana na wanajali. Mungu bariki Mabinti Weusi na Maji ya KUNDE. Kuwa na Mwanamke mweusi au Binti mrembo mweusi na maji ya KUNDE ni burudani sanaaaaaaaaaa.

****************

LET US LOOK THE POWER OF BLACK PEOPLE IN COLOUR.

Birds who have the same feathers fly together. Peoples who have the same Brown or Black colour enjoy life together. The Black snake is a snake who has hot poison than all snakes, the same to Black or Brown people in Colour. Black means Power, Black is King or Queen. Black can be African, Indian, Arabs. But what matter is black in Colour. Black women have powerful Colour to maintain homesteady.

******************

BLACK WIFE or BROWN WIFE IS PRESTIGE TO MAN.

Most Women who fights for other people are Black and Brown Women. The father of Faith in Doctrine is known as Abraham and his wife Sarah both were Black People. Freedom Fighters most are Black Peoples. Innovation people most are Black. Feel proud to be Black. The food we are eating nowadays has changed us to Brown People due to chemical in food. But our origination is Black. Black wife is a custody for husband.

******************

SIJAFANYA NGONO KWA MIAKA MINGI.

Don Nalimison, Tangu Juni 2015 mpaka leo Desemba 2020 sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote yule. Nasiwi kichaa Kama mnavyotarajia, Since June 2015 up to date December 2020, I have never fall in love with any woman else.I Don Nalimison, I keep my health.

*""""""""

NIMEKUBALI YOTE/I ACCEPTED ALL.

Hakuna mtu wakuweza kunibadili msimamo wangu, hata Kama amepewa Mamlaka ya kuniua, hatofanikiwa."IAM STRONG ENOUGH".

No one can make me to be me only myself I can make myself to be myself. No one can change my Decision, No one can move me on my Strong track I decided in any means, iam ready for any disaster. DON NALIMISON.
 
Nimesabiskraibu kabisa na kuskirini shoti ili mod wakipita na uzi nibaki nikijisomea.
 
Ww tena unataka watu waanze kusema Adam na Hawa walikuwa weusi haya hao weupe walitokea wapi ingali Baba wa wana Adam ni weusi
 
Taswira za mabinti maji ya kunde na brown kunogesha uzi itapendeza.
 
Wabheja SANA nkhoi Don! :)

Everyday is Saturday................................😎
 
Nyeupe kama Weupe unaijua wewe?
kama ream paper, maziwa fresh, tui la nazi Hiyo ndio najua ni nyeupe ambayo sijawahi kumuona binadamu aliyeko hivyo
 
Kupenda watu weupe hakujaanzia Africa kisa uchache mkuu hata mambele huko wanapenda wanawake we ye tone nyeupe zaidi mdomana Makeup za wachina zinawafanya wawe kama wana Chaki Usoni...Yote ni kwambabwachina wanapenda wanawake weupe kuliko hata rangi ya kawaida ya mchina.
Hata mtume mwenyewe alipenda weupe...Just imagine alikuwa kwenye jamii ya watu weupe wenye nywele nyeusi lakini yeye alipenda wanawake weupe zaidi wenye nywele nyeupe na kusema hata wanawake wa mbinguni watakuwa weupe mpaka kukaribia kuwa transparent.

Ndomana uweupeb unaitwa rangi ya mtume
 
Colorism bwana

Upo hapa unabagua mwanadamu who happen to have a light skin tone na unasema wazi wazi kabisa as if yeye alichagua kuzaliwa that way?

Wewe kutomuoa yeye ni shida zako binafsi to begin with

Waafrika tunabaguana Waafrika kwa color zile zile yaani..

Huyo maji ya kunde utakuja kugundua zipo maji ya kunde kama elfu moja hivi,nazo utaanza kuzibagua

Wewe ni nani mpaka useme wewe kumuoa yeye ndio kama lottery hivi,wakati wewe mwenyewe ni kiumbe hovyo kama maviumbe hovyo mengine?

Sijui unajiweka kwenye hiyo ngazi ya juu hivo wewe kama nani hasa?

Waafrika kwenye ulimwengu tunabaguliwa na kila mtu,sisi ndio tupo mkiani kabisa na hatujawahi mkosea mtu yeyote duniani kwa lolote

Hatujawahi shika ardhi ya mtu,hatujawahi fanya massacre ya other races,hatujawahi fanya utumwa kwa race zingine zozote,hatujawahi ibia mtu yeyote mali zake,cha ajabu all other races zinatuchukia kupita maelezo bila kosa lolote sababu tu ya rangi zetu

Cha ajabu mwafrika mwenzetu kichaa huyu anafungua uzi kubagua waafrika wenzie wenye rangi kama yeye,wanaoteseka kama yeye dunia hii

Adui ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe...The biggest baguzi ni liAfrika lenyewe kwa mwafrika wenzie
I declare...tokea niijue JF (2013) sijawahi kuona comment bora kama hii.kudos
 
Back
Top Bottom