Sijui kwanini namchukia binamu yangu

Sijui kwanini namchukia binamu yangu

Inawezekana Humchukii yeye bali unachukia hizo tabia zake za kujionyesha., cha msingi toka kwenye hilo group na hata fb mblock kimya kimya ili asikuchefue Zaidi, halafu mke ulo oa sie, mke wa kweli hata aone nini kwa jirani yeye anachoangalia ni hali ya mume wake na malengo yao, utakuta hiyo pesa ya kununua swimming ambayo haifiki hata laki 5 ipo kwenye account ya mume lakin malengo yeno kwa muda ule ni kumalizia mjengo wenu labda au kufungua biashara hivi utawaza swiiming pool au simu kweli????? Na unaanzaje kumkera mume na vikorokoro vya ajabu viisivyo na msingi, kiufupi mke wako alikuwa mtoto sana au ndo ana udhaifu mkubwa na wanawake dezain hizo ukiyumba kimaisha ni wa kwanza kukutafutia sabab.
 
Duh balaa ndoa inavunjika sababu ya post za Facebook khaaa kweli wanao oa zama za dotcom wanashida
 
Huyo mke wsko nae jipu, au uliishi nae maisha ya kuigiza wakati wa uchumba ulijifanya na wewe pedeshee sasa alivyoolewa na wewe akaona mambo ndivyo sivyo, sasa dhambi zako zinakutafuna mwenyewe.

Sio rahis mwanamke kuacha ndoa kwa sababu hizo ndogo kama anajua uwezo wako.
Jipange upya usirudie maisha ya kuigiza wala dada yako hapo hakuchangia kuharibika ndoa yenu.

Angalia pia na mwanamke wa kuoa sio weluwelu mara anatka hiki mara kile wakati anajua kabisa uwezo hana.
 
HI,
HABARI ZENU,NINA MDOGO WANGU(BINAMU) namchukia toka kipindi ambacho nipo ndani ya ndoa sababu ni hivi,
Nilioa mke, na yeye(dada yangu) aliolewa na mtu tajiri na kila mara akawa anamtambia mke wangu ,na mawifi wengine kwenye vitu mbali mbali vya kununua nunua (simu,kubadili gari,swiming pool ya kununua, na mambo kedekede kila kukicha) mke wangu akawa ananiendesha ile mbaya kwamba mimi simpendi /sijui ku care,mara hv mara vile mwishowe demand ya vitu na vijimigorogoro vikawa vingi na mimi sijaishi kwenye maisha ya kutatua /kusuruhisha/kushtakiwa /kulaumiwa/au kulaumu/kusingiziwa mabaya/au kutenda mabaya katika ujana wangu wote tuliachana na mke wangu,
shida nliyonayo yule dada angu kila leo anapost vitu vizuri vizuri kwenye group moja la whatsaap la familia na mimi nakumbuka vile vijigogoro vilivyopita na aliyekuwa mke wangu. sasa sijui yangu ya kumchukia kwa tabia yake hii mimi itaniisha lini maana dogo anakimbiza mpaka mawifi zake wengi kinawauma.
Kiufupi una roho mbaya na hutaki mtu apate,ikiwa mkeo ametoka kwao na tabia chafu usilaumu mwengine,kama umeshindwa kumtuliza au kuka na mbkeo basi usitupie watu sababu,au yeye kuweka nyumba gari inshallah aweke Almasi
au awe na nyumba ya gorofa 100 mwenyezi mungu amemjalia Omba na wewe na inshallah mwenyezi mungu mungu atakupa
lakini kumchukia na kumuonea kijicho hakikusaidii ila inapata hasara na kujiudhi nafsi yako,huyo ni damu yako kumbuka kupata kwake ndio kupata kwako,na kila mtu na hulka yake kuna wengine hawana lakini watakua na hashuo kupitiliza
wengine wanazo na wako kimnya sasa kila binadamu na hulka yake,muombe mungu amuongeze na wewe akupe,usimchukie..
sorry kama ntakua nimekukera....
 
Sitaki kuamini kwamba maringo ya mdogo/binamu yako yametingisha na kudondosha ndoa yako.

Tena mkiwa mnakaa mbalimbali aisee ulikosea kuchagua mke. Au wewe mwenyewe una shida zingine zilizovunja ndoa yenu.
 
jibu la mpumbavu ni kumfumbia macho na kufanya yako...
 
Daah pole sana..kwangu naona vitu vidogoo na wala nisingeumiza kichwa bahati umeoa mwanamke mwenye upeo mdogo....songa mbele mkuu..
 
Achana na hizo.....kama umemeshiba mwambie kuwa aachane na kutuma mipicha yake, you really don't care about her private life. Plus umpe ukweli kuwa unashawishi wenzake vibaya.

Kama huwezi toka kwenye group ....

Hii ya kumwambia hapana. Mtu mwenye hulka ya kupost post vitu mara nyingi anapenda watu waone, wamsifie, wasionacho wamkome... sasa aki acknowledge kukoma itakuwa si poa. Ata mpa kichwa sana. Tena anaweza kujua na ujumbe wenye jungu zito kwenye group. maisha ya kijana wetu yakawa magumu zaidi.

Options nzuri ni kumwelimisha mke wake kuwa asiwe bendera fuata upepo, kuleft asione huo upuuzi ili asijilinganishe, kumkaza vizuri mkewe ili asiwe anaona mengine aone kama ndoa ndo ishakuwa tamu hivi hivi
 
Habari zenu,

Nina mdogo wangu (binamu) namchukia toka kipindi ambacho nipo ndani ya ndoa sababu ni hivi;

Nilioa mke na yeye (dada yangu) aliolewa na mtu tajiri na kila mara akawa anamtambia mke wangu na mawifi wengine kwenye vitu mbali mbali vya kununua nunua simu, kubadili gari, swiming pool ya kununua na mambo kedekede kila kukicha mke wangu akawa ananiendesha ile mbaya kwamba mimi simpendi, sijui ku care, mara hivi mara vile mwishowe ''demand'' ya vitu na vijimigorogoro vikawa vingi na mimi sijaishi kwenye maisha ya kutatua ,kusuluhisha, kushtakiwa, kulaumiwa, au kulaumu, kusingiziwa mabaya au kutenda mabaya katika ujana wangu wote tuliachana na mke wangu.

Shida niliyonayo yule dada yangu kila leo anapost vitu vizuri vizuri kwenye group moja la whatsaap la familia na mimi nakumbuka vile vijigogoro vilivyopita na aliyekuwa mke wangu.

Sasa sijui tabia yangu ya kumchukia kwa tabia yake hii mimi itaniisha lini maana dogo anakimbiza mpaka mawifi zake wengi kinawauma.
Nadhani umefeli kama mwanaume, hutakiwi kumchukia yeye kwa kuwa nacho ila uuchukie umasikini.
 
Huyo dada yako ni ulimbukeni tu wa maisha unamsumbua,,,na hao wanaoumia roho waambie kuwa watu wanafeli maisha kwa sababu wanajaribu kukopi maisha ya wenzao,waambie kuwa maisha ni mtihani,na kila mmoja ana pepa yake mwenyewe,atakayekopi kwa mwenzake ni lazima aingie "chaka" kama alivyoingia mkeo mtalaka.
 
Habari zenu,

Nina mdogo wangu (binamu) namchukia toka kipindi ambacho nipo ndani ya ndoa sababu ni hivi;

Nilioa mke na yeye (dada yangu) aliolewa na mtu tajiri na kila mara akawa anamtambia mke wangu na mawifi wengine kwenye vitu mbali mbali vya kununua nunua simu, kubadili gari, swiming pool ya kununua na mambo kedekede kila kukicha mke wangu akawa ananiendesha ile mbaya kwamba mimi simpendi, sijui ku care, mara hivi mara vile mwishowe ''demand'' ya vitu na vijimigorogoro vikawa vingi na mimi sijaishi kwenye maisha ya kutatua ,kusuluhisha, kushtakiwa, kulaumiwa, au kulaumu, kusingiziwa mabaya au kutenda mabaya katika ujana wangu wote tuliachana na mke wangu.

Shida niliyonayo yule dada yangu kila leo anapost vitu vizuri vizuri kwenye group moja la whatsaap la familia na mimi nakumbuka vile vijigogoro vilivyopita na aliyekuwa mke wangu.

Sasa sijui tabia yangu ya kumchukia kwa tabia yake hii mimi itaniisha lini maana dogo anakimbiza mpaka mawifi zake wengi kinawauma.
arquivo_pessoal.jpg
 
hahahhahahahhaha tafuta vyako mzee ukiendelea kusubiri n CHUki zako utabaki hapo hapo na hata ukioa mwngn mwendo ule ule
 
Ushenzi huo kwani ni ngumu sana kwa mtu mwenye busara kumtambia mtu kuhusiana na asset zake za mda mfupi ilhali ajajiwekea hazina mbinguni
 
Back
Top Bottom