ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,327
- 4,036
Habari zenu,
Nina mdogo wangu (binamu) namchukia toka kipindi ambacho nipo ndani ya ndoa sababu ni hivi;
Nilioa mke na yeye (dada yangu) aliolewa na mtu tajiri na kila mara akawa anamtambia mke wangu na mawifi wengine kwenye vitu mbali mbali vya kununua nunua simu, kubadili gari, swiming pool ya kununua na mambo kedekede kila kukicha mke wangu akawa ananiendesha ile mbaya kwamba mimi simpendi, sijui ku care, mara hivi mara vile mwishowe ''demand'' ya vitu na vijimigorogoro vikawa vingi na mimi sijaishi kwenye maisha ya kutatua ,kusuluhisha, kushtakiwa, kulaumiwa, au kulaumu, kusingiziwa mabaya au kutenda mabaya katika ujana wangu wote tuliachana na mke wangu.
Shida niliyonayo yule dada yangu kila leo anapost vitu vizuri vizuri kwenye group moja la whatsaap la familia na mimi nakumbuka vile vijigogoro vilivyopita na aliyekuwa mke wangu.
Sasa sijui tabia yangu ya kumchukia kwa tabia yake hii mimi itaniisha lini maana dogo anakimbiza mpaka mawifi zake wengi kinawauma.