Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,376
Jitoe kwenye group kama unakereka
MWAMBIE "KAMA UNACHUKIA VAA MIWANI USIONE GEREEEE...WEUSI HATUNA KWERE YOU JUST DONT GET IT"
Jitoe kwenye group kama unakereka
Pambana nawe uwe na uwezo wa kununua vitu vyako, kumchukia haitasaidia kitu.
Ana wivu wa kikeKwel bhana km anaumia kuona dada kanunua vitu ajiweke mbal nae
Well said, social media zimeweka watu warusjhiane picha, sasa wanawake na kutambiana c ndio zao, hasa km mdada hakusoma, msifie dadayako yake ilikuwa na macho iliona mwenye pesa, muache alimbuke, achana nae, hajajitambua, kamainakuuma kaza buti utafute, vinginevyo ukimchukia hujajikubali, kaza buti mwanaume unachukia chukia maendeleo ya wengine we mdemu usieshule???? muache dadaako alimbuke e tafuta hela, utapata aliewakoBe a man, acha izo mambo za kumfatilia uyo mwanamke..