Sijui kwa nini wengine huwa hawawezi kula hii kitu....!!!!

Sijui kwa nini wengine huwa hawawezi kula hii kitu....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
chkn.jpg
Hii kitu ni tamu (chicken' ass) ila kuna baadhi ya watu huwa hawawezi kula, dada yangu mpaka leo ukitaka umnyime kuku we mpe hako ka part.
 
Si ndio kadudu kanakotoa yale mafuta sijui kanajtwa pyrostyle or something else kufanya manyoya yatelezeshe maji!

Its full of fat
 
Hata mimi ilinishinda kwa kweli!
Kwanza hapo huwa na mafuta sana nami nyama yenye mafuta sili
 
Sijawahi hasa, hata nkila sehemu ya kiuno hio namegua natupa
 
kumbe unaielewa mkuu? nlidhani mimi tu!

mkuu,nilipokuwa mdogo nilikuwa nikizuiwa kuila eti hiyo ni kwa ajili ya wanawake tu,so akawa anakula maza na masista.siku nilipofuma chanse nje ya maskani nikaanza kuitumia,mkuu,we acha tu,mpaka leo bila kula chicken ass cjaona kama nimekula kuku eti
 
Back
Top Bottom