donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
aisee nimekukubali mkuu, kumbe unaisoma hii kitu!Dah... Mie naipenda mbaya aisee!!!! Yummy yummy.....
aisee nimekukubali mkuu, kumbe unaisoma hii kitu!Dah... Mie naipenda mbaya aisee!!!! Yummy yummy.....
Mi nataka firigisi!
daah mkuu uwe unaniita ukitaka kuitupa!Sijawahi hasa, hata nkila sehemu ya kiuno hio namegua natupa
hahaha mkuu baada ya kuisoma siri ya mchezo mpaka leo ni mwendo wa chicken assmkuu,nilipokuwa mdogo nilikuwa nikizuiwa kuila eti hiyo ni kwa ajili ya wanawake tu,so akawa anakula maza na masista.siku nilipofuma chanse nje ya maskani nikaanza kuitumia,mkuu,we acha tu,mpaka leo bila kula chicken ass cjaona kama nimekula kuku eti
ni kweli ina mafuta flani ambayo yanaongeza kautamu fln
Hata mi pia natupa its too fatty....daah mkuu uwe unaniita ukitaka kuitupa!
tuko wengi mkuuAisee i love this stuff! Yummy yummy!
View attachment 123057
Hii kitu ni tamu (chicken' ass) ila kuna baadhi ya watu huwa hawawezi kula, dada yangu mpaka leo ukitaka umnyime kuku we mpe hako ka part.
mkuu hilo ni kosa la jinaiNgozi na hicho kidude vya kuku ni vya kutupa vina mafuta mengi sana!!
haha, acha uoga mkuu never say never!
Ngozi na hicho kidude vya kuku ni vya kutupa vina mafuta mengi sana!!
Hiyo makitu kule kwetu Ungonini aka Songea inaitwa KIUTULI! Enzi zetu za matani nikiwa primary pale songea kulikuwa na utani unaambiwa pua km kiutuli. Hahaaaa you can imagine your nose being taunted like that. All in all hiyo kitu tamuuuuuu mnooooo. Kiutuli ndio mpango mzima mnaopenda firigisi tatizo ni kwamba kuku akichinjwa firisi ni ya baba soo until you become a family man hahaaaaaaaaa
hahaha mkuu baada ya kuisoma siri ya mchezo mpaka leo ni mwendo wa chicken ass