Sijui kutongoza, msaada please

Sijui kutongoza, msaada please

Mkuu unashindwa kwelh kumwambia mwanamke 'silali, nakuota wewe" ahahaha
Au nikinywa maji nakuona kwenye glass
 
Mwambie i love you nyang'anyang'a basi
 
Mimi nimemuelezea style ya kutongoza mtu mwenye malengo naye.
Hiyo yako yamalaya kutongozana haina msaada kwa ndugu yetu hapa
Alikwambia anataka mchumba? Mwenziyo ana hamu ya kupiga mzigo ila kutongoza hajui aanziye wapi. Angekuwa anataka mchumba angetangaza nia.
 
Boss inaonekana wewe ni antisocial, mtu mkuda/mnoko asiyejichanganya na watu. Kutongoza ni social aspect, si vita, si ugomvi, si matusi, si ushamba...sasa unashindwaje mkuu??

Kutongoza is a process, si tu umempenda mdada muda huo huo unataka umwage sera. Anza kumvuta pole pole, mfn muulize km anajua kuogelea. From there hautakosa cha kuendeleza.

Kitu kirahisi zaidi cha kuanza nacho ni kuwa rafiki wa watu, wake kwa waume. Utagundua kutongoza ni kitu chepesi kama A E I O U.
mkuu kumbe na huku unafikaga aisee?
 
Huwa nakutana na wadada wengi wazuri mchoni ila kuanza kutongoza sasa inakuwa shida, huwa naingiwa na kauoga fulani hivi na mate hukauka mdomoni ingawa mi mkubwa kabisa wa kusimamisha mwanamke na akaeleweka, 27yrs, niambie huwa wanaanzaje kutongoza hadi kula mzigo?


Wewe unaonekana ni mtoto wa Insta ama Fesibuku....bado unakuwa, kwa hiyo usiharakishe maisha.
 
Hao watu wanataka kujichanganya nao. We jitahidi kupiga mastori hata kama ya kubumba cha umuhim umsogeze awe karibu nawe kwanza, baada ya hapo inakua rahisi kutupia mpira nyavu ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom