Sijui kutongoza, msaada please

Sijui kutongoza, msaada please

Mpendwa kutongoza ni kazi rahisi sana.
Muhimu uwe na pesa na namba ya simu ya mhusika
Usimtumie vimsms vya "hi" "mambo" "gudnyt" kama hujampa vocha ya kukujibia
Usimtumie msg za "twende lunch" "karibu kula" kama hujampa hela ya kula
Pendelea mawasiliano kwa njia ya calls' na sio 24/7 ni vijisms tu.
Epuka matumizi ya "WhatsappCalls"! Ni fedheha na kujishushia hadhi mwanaume
Maongezi yenu yawe ya kufahamiana tu umri, familia zenu, Makazi malengo maishani
Epuka maongezi ya kuongelea habari za ngono na kunjunjuana "unaonekana mtamu sana" "ukinipa nitakunyonya"
mpaka hapo utakua umeanza kuwin akili yake kwa 20%
........ Itaendelea

Baelezeeee Baelezeeee mamaaaaaa

cc Smart911
 
Huwa nakutana na wadada wengi wazuri mchoni ila kuanza kutongoza sasa inakuwa shida, huwa naingiwa na kauoga fulani hivi na mate hukauka mdomoni ingawa mi mkubwa kabisa wa kusimamisha mwanamke na akaeleweka, 27yrs, niambie huwa wanaanzaje kutongoza hadi kula mzigo?

Mkuu umekula hela za rambi rambi kwenye chama chetu cha CHAPUTA sasa unataka kutukimbia, RB yako tunayo!!
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Pole sana kwa tatizo lako la 'UDOMO ZEGE' kwanza cha kwanza inabidi ukubaliane na tatizo lako, kaa kwenye kioo jitazame kisha sema mimi ni Domo zege, ukisha kubali tatizo lako, den work hard, tafuta Pesa mzee ,wewe tafuta pesa tu mwisho wa siku watajitongozesha wenyewe, na utapata kila aina ya mwanamke unaemtaka.

Wasalaam.
 
Mpendwa kutongoza ni kazi rahisi sana.
Muhimu uwe na pesa na namba ya simu ya mhusika
Usimtumie vimsms vya "hi" "mambo" "gudnyt" kama hujampa vocha ya kukujibia
Usimtumie msg za "twende lunch" "karibu kula" kama hujampa hela ya kula
Pendelea mawasiliano kwa njia ya calls' na sio 24/7 ni vijisms tu.
Epuka matumizi ya "WhatsappCalls"! Ni fedheha na kujishushia hadhi mwanaume
Maongezi yenu yawe ya kufahamiana tu umri, familia zenu, Makazi malengo maishani
Epuka maongezi ya kuongelea habari za ngono na kunjunjuana "unaonekana mtamu sana" "ukinipa nitakunyonya"
mpaka hapo utakua umeanza kuwin akili yake kwa 20%
........ Itaendelea
Nimependa comment yako! Only gentleman can do that!
 
Pole sana kwa tatizo lako la 'UDOMO ZEGE' kwanza cha kwanza inabidi ukubaliane na tatizo lako, kaa kwenye kioo jitazame kisha sema mimi ni Domo zege, ukisha kubali tatizo lako, den work hard, tafuta Pesa mzee ,wewe tafuta pesa tu mwisho wa siku watajitongozesha wenyewe, na utapata kila aina ya mwanamke unaemtaka.

Wasalaam.
Mpaka apate pesa za kuwavutia warembo atakuwa mzee sana. Hivyo hatawafaidi sana.
 
Nikionaga thread kama hizi najiuliza 'why?'

Nakubaliana na mshauri mmoja alie sema unaweza kuwa antisocial. Kwa mtazamo wangu, marafiki zangu wengi ambao ni social sana hawajawahi kupata wakati mgumu kupata partner. Unakuta anaongea nae kama siku zote alafu anaanza kumtreat as a partner, mwishoni unasikia tu mtu kashout 'Yes, I will be your girlfriend'. Unabaki unapiga makofi Kusema ukweli Nina ka wivu na hizi skills zao.

Kwanza jua kabisa kuna njia nyingi za kupata someone to date.

Numero un looks wasichana hawapendi kutembea na mtu mwenye appearance ya hovyo. Inategemea na class. Sijui wewe upo league gani heheheh(utani tu).

Numero deux hili la maana sana, confidence. Hata kama sura mbovu, make sure confidence ipo on point. Kumbuka confidence goes with appearance, ukija na confidence nguo zimeliwa na panya utaitwa kibaka.

Numero trois don't be too nice, you will be a creep and scare them off, vile vile don't be too hard, you will be a jerk. Nasikia ladies love jerks but naongelea wasichana sio wanawake kama wewe unaenda 27 up. Nakushauri ubalance between this. Kama below 27, be more of a challenge.

You can not change your face, but you can make yourself look better na kizuri no girl goes over face. Sio kama men, men tunafata sana sura. Kama hivyo vya juu shida, wewe hustle and get money watajileta, nunua V8 weka jina kwenye plate number. Sana sana kazi itakua kumpa eye contact atakutongoza yeye

Conclusion

Siwezi kusema mimi pro but nilikuwa na Bahati ya kupata 3/10 ya girl niliowafata, ratio mbaya but that's the whole point, have fun while flirting. 3/10 I am proud. So ukipiga sound wakakupiga kibuti sema next. Kwanza kwa records za TZ wanawake wengi. So sijui ni wabaya but options nyingi tu. Nikukumbushe ukiwa na hela you can skip step one. Wewe utakuwa wa shortcut tu.
c722bffdf8c7835028ea90ad87345ae7.jpg

Goodluck

-callmeGhost
aseehh mkuu umeongea point jiwe kinoma yani ingefaa kabisa ifunge hii thread!! sema ndio vile tena unaeza kukuta jamaa ni mzito ata kuchukua aya madini ulomwambia.

Real voice.
 
Mpendwa kutongoza ni kazi rahisi sana.
Muhimu uwe na pesa na namba ya simu ya mhusika
Usimtumie vimsms vya "hi" "mambo" "gudnyt" kama hujampa vocha ya kukujibia
Usimtumie msg za "twende lunch" "karibu kula" kama hujampa hela ya kula
Pendelea mawasiliano kwa njia ya calls' na sio 24/7 ni vijisms tu.
Epuka matumizi ya "WhatsappCalls"! Ni fedheha na kujishushia hadhi mwanaume
Maongezi yenu yawe ya kufahamiana tu umri, familia zenu, Makazi malengo maishani
Epuka maongezi ya kuongelea habari za ngono na kunjunjuana "unaonekana mtamu sana" "ukinipa nitakunyonya"
mpaka hapo utakua umeanza kuwin akili yake kwa 20%
........ Itaendelea

Leo utakuwa na furaha sana, natamani kujua siri ya mafanikio ni nini!

Mshauri jinsi ya kupata namba, maana hata namba hajapata ujue.
 
Nikionaga thread kama hizi najiuliza 'why?'

Sio kama men, men tunafata sana sura. Kama hivyo vya juu shida, wewe hustle and get money watajileta, nunua V8 weka jina kwenye plate number.
Goodluck

-callmeGhost

Kama ni hivyo kwamba mpaka V8 ndo ugonge kazi ipo.

Huwezi kupata demu mkali kama unasubiri utongozwe wewe, unasubiri mademu wajilete, you will end up playing loose balls.
 
Leo utakuwa na furaha sana, natamani kujua siri ya mafanikio ni nini!

Mshauri jinsi ya kupata namba, maana hata namba hajapata ujue.

Nimeamka na Bwana thats why am Happy.
 
Nimeamka na Bwana thats why am Happy.

I can see it, maana nilivyoona "rubii quoted you" nikajua kimewaka leo, ile nafungua huku nina mawazo kwelii, kuja kusoma nikashusha pumzi kusema Asante Bwana.
 
Hilo tatizo hata mimi ninalo na kwa uoga huu najikuta natumia kiasi kikubwa cha fedha kuwapata wasichana
 
MWAMBIE DADA UNATUMIAGA M_PESA AU TIGO PESA THEN AKIJIB NDIO NENDA NAYE KWA WAKALA THEN UNAMLUSHIA 30000,KESHO ATAKUTAFUTA TENA UTAMPA 40000,KESHOKUTWA IVYO IVYO TENA ....SIO SIRI UTAPENDWA WEWEEE,ADI MIMI NITAONA WIVU UPENDO WENU
 
I can see it, maana nilivyoona "rubii quoted you" nikajua kimewaka leo, ile nafungua huku nina mawazo kwelii, kuja kusoma nikashusha pumzi kusema Asante Bwana.

Tuachane na hayo.
Unajua kutongoza wewe??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom