Huwa nakutana na wadada wengi wazuri mchoni ila kuanza kutongoza sasa inakuwa shida, huwa naingiwa na kauoga fulani hivi na mate hukauka mdomoni ingawa mi mkubwa kabisa wa kusimamisha mwanamke na akaeleweka, 27yrs, niambie huwa wanaanzaje kutongoza hadi kula mzigo?
Nikionaga thread kama hizi najiuliza 'why?'
Nakubaliana na mshauri mmoja alie sema unaweza kuwa antisocial. Kwa mtazamo wangu, marafiki zangu wengi ambao ni social sana hawajawahi kupata wakati mgumu kupata partner. Unakuta anaongea nae kama siku zote alafu anaanza kumtreat as a partner, mwishoni unasikia tu mtu kashout 'Yes, I will be your girlfriend'. Unabaki unapiga makofi

Kusema ukweli Nina ka wivu na hizi skills zao.
Kwanza jua kabisa kuna njia nyingi za kupata someone to date.
Numero un

looks wasichana hawapendi kutembea na mtu mwenye appearance ya hovyo. Inategemea na class. Sijui wewe upo league gani heheheh(utani tu).
Numero deux hili la maana sana, confidence. Hata kama sura mbovu, make sure confidence ipo on point. Kumbuka confidence goes with appearance, ukija na confidence nguo zimeliwa na panya utaitwa kibaka.
Numero trois don't be too nice, you will be a creep and scare them off, vile vile don't be too hard, you will be a jerk. Nasikia ladies love jerks but naongelea wasichana sio wanawake kama wewe unaenda 27 up. Nakushauri ubalance between this. Kama below 27, be more of a challenge.
You can not change your face, but you can make yourself look better na kizuri no girl goes over face. Sio kama men, men tunafata sana sura. Kama hivyo vya juu shida, wewe hustle and get money watajileta, nunua V8 weka jina kwenye plate number. Sana sana kazi itakua kumpa eye contact atakutongoza yeye
Conclusion
Siwezi kusema mimi pro but nilikuwa na Bahati ya kupata 3/10 ya girl niliowafata, ratio mbaya but that's the whole point, have fun while flirting. 3/10 I am proud. So ukipiga sound wakakupiga kibuti sema next. Kwanza kwa records za TZ wanawake wengi. So sijui ni wabaya but options nyingi tu. Nikukumbushe ukiwa na hela you can skip step one. Wewe utakuwa wa shortcut tu.
Goodluck
-callmeGhost