Mosahe
Member
- Feb 22, 2017
- 67
- 33
Huwa nakutana na wadada wengi wazuri mchoni ila kuanza kutongoza sasa inakuwa shida, huwa naingiwa na kauoga fulani hivi na mate hukauka mdomoni ingawa mi mkubwa kabisa wa kusimamisha mwanamke na akaeleweka, 27yrs, niambie huwa wanaanzaje kutongoza hadi kula mzigo?
