Sijui kama umeshawahi kufall in love haswaa!

Sijui kama umeshawahi kufall in love haswaa!

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
741
Sijui kama ushawai fall in love ile haswaa..

Yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu.

Akikuita tu "my love"unajisikia tu kuvua nguo mwenywe..hicho kiupendo ukiwa nae unajisikia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja.

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee
Yani yale mapenzi kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenzi yao hayafikii yenu...ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"

Unajishikilia kwenye ukuta usizimie...yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo?

Kama ushawai experience hivyo? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
 
Unajishikilia kwenye ukuta ili usizimie.............
Hebu ngoja nione.......
 
Bangi na viroba mchanganyiko hiyo.
 
hii ni mbaya kwa afya ya moyo wako
 
Kikilia tu paaaa...mtu kaondoka....Duniani hakinogi kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom