likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,090
MKUU KAMA ANAKUPENDA NA ANA SIFA SI UWE NAYE TU, HUKO MBELE UKIONA MZNGUAJE MNAACHANA KULIKO KUMWACHA BILA SABABU.. NUKSI.
asante kwa ushauri wako mkuuMKUU KAMA ANAKUPENDA NA ANA SIFA SI UWE NAYE TU, HUKO MBELE UKIONA MZNGUAJE MNAACHANA KULIKO KUMWACHA BILA SABABU.. NUKSI.
Huyo ni Ebitoke....angalia sana!habari zenu
nina msichana ambaye tumekutana kwenye mtandao tukaanzisha murafiki na hatimaye mahusiano,tatizo ni kwamba wadada wa mitandao wengi wao ni wadanganyifu lkn huyu amekua akipiga simu hata nyakati za usiku sana kuniulizia nipo na nani na kibaya zaidi nilijaribu kumwambia sina imani naye na alidiriki kujaribu kunywa sumu ingawaje walimuwahi na kumpa maziwa.na amekuwa akisisitiza kila mara nikijaribu kumuacha atajiua.sasa sijajua kama anaigiza au laaaaah.
naombeni ushauri tafadhali
Basi sawamsichana
Naweza kuiona mkuutv ina chogo kwa nyuma
[emoji12] [emoji124]Mzee penda penda bado anawawaza kwa mpigo?[emoji4][emoji4][emoji4]
OK. kagonge kwanza kisha ndo uje tuendeleze huu mjadala, tunaweza kukushauri uoe kisha ukaja kuta bwawa ukaja tulaumu bure.yuko vizuri kila idara kwa mwonekano wa nje kuhusu kugonga bado
Umenena vema haswaaa...Take [emoji109]Hadi hapo ningekua ndio nimekupa mtihani, ningesema umefeli.
Kwa umri huo unapaswa kujua mwanamke mwenye huba na asie na huba na wewe.
kheeee [emoji23]yes mara moja tu
Mie nitakushauri siku utakayothibitisha kweli alitaka kujiua au sio kweli !!.habari zenu