flayboy Senior Member Joined Apr 8, 2017 Posts 175 Reaction score 95 Jul 4, 2017 #61 Sa we mtu mpaka anakunywa sumu bdo humuamini unataka afanye ninj ili umuamini sasa?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,239 Reaction score 184,947 Jul 4, 2017 #62 Mwambie umeathirika... Kama bado atangangania kunywa sumu... Nenda mkapime... Cc: mahondaw
M msmimi30 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 1,019 Reaction score 862 Jul 5, 2017 #63 kajuna john said: asante mkuu lakin tambua ni vigumu kuusoma moyo hasa wa msichana Click to expand... wala usipoteze muda kujaribu kuusoma kama wewe wampenda inatosha, jilipue tu
kajuna john said: asante mkuu lakin tambua ni vigumu kuusoma moyo hasa wa msichana Click to expand... wala usipoteze muda kujaribu kuusoma kama wewe wampenda inatosha, jilipue tu