Sijui kama ananipenda?

Sijui kama ananipenda?

Kinachokufanya usiwe na iman naye kama anakupenda ni nini?!
 
jamani tuache utani make njia zote nimejaribu za kumtega nijue kama anaigiza anakwepa mfano aombbi hela mara kwa mara,lugha yake yaunyenyekevu,na mbaya zaidi juzi alikua anaumwa lkn yeye ndo anapiga simu kunijuza anaendeleaje nashindwa kujua kama anaigiza upendo au amedhamilia..............
acha ufala ukiangukiwa anguka
Na ww usisubr uambiwe

Uanguke kwa akili lkn
Ukianguka kiboyaboya
Icu inakusubr
 
Ushagonga mara ngapi, je ni mnato au bwawa, anajua shughulika kunako au goigoi? Anashepu la haja au hovyo hovyo tu? Sura inaridhisha au anafanana na bambo? JIBU KWANZA HAYA NDO TUENDELEE KUSHAURI.
yuko vizuri kila idara kwa mwonekano wa nje kuhusu kugonga bado
 
Ushagonga mara ngapi, je ni mnato au bwawa, anajua shughulika kunako au goigoi? Anashepu la haja au hovyo hovyo tu? Sura inaridhisha au anafanana na bambo? JIBU KWANZA HAYA NDO TUENDELEE KUSHAURI.
kumaanisha jamaa anajibebea
Flat screen au

Cjaona ukimuuliza kuhusu
Chura
 
Mkuu angalia usije ukafarikisha mutu aseeh,.. Uyo Dada penda wewe
 
Vipi anatokea kule alikotoka shujaa wa vita aliyewapiga wajerumani ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom