Sijui kabisa naomba mnifahamishe

Sijui kabisa naomba mnifahamishe

mkuu, kwa msaada zaidi ungeipleka jf doctor...
na kweli mkuu akienda kule jf doctor atapata msaada zaidi kule thread kama hizi zipo 200 kidogo,ila ninachojua miimi ni kwamba siku anayomaliza hedhi kuanzia siku ya kwanza mpk ya 10 ni salama ila kuanzia siku ya 11 mpk 17 ni salama hasa siku ya 15 ndo hatari zaidi na siku tano za mwisho kabla ya kuingia upya kwenye hedhi pia ni salama
 
Download menstruation period app. Weka details. .it works mkuu.
 
Back
Top Bottom