Sijui huyu Mwanamke ni wa aina gani?

Me: Asante
Her: nikuulize kitu?
Hahahaha, nkajua maswali yanaanza kama kawa, nkajiuliza nikisema nkomalie picha atasusa, ngoja tu aulize maswali siku akiwa kweny good mood atatuma picha.
Me: yeah, uliza (nilijbu kinyonge Sana)
Her: ushawahi kusex.


Songa nayo....

Hili swali niliona Ni swali flani hivi la uchokozi Sana. Niliwaza huyu demu nia yake Ni kuamusha nyege zangu coz anajua mm mtu mzima halaf bishoo(tozi) so siwez kukosa totoz.

Me: yeah, nishawahi.
Her: mara ngapi. ( Hili swali lilinichosha Sana, hahahaha)
Me: Joan, mbona una maswali magumu sana, nishakujibu nilishawahi kusex, hata kama ukijua idadi ya mm kufanya haitasaidia, we jua tayar nishafanya.
Her: Nijibu tu, mm Nina maana yangu.
Me: ok, Zaid ya mara mbili.
Her: Duh! Inaonesha ushafanya Sana, ila sio mbaya.
Me: Joan, tambua kua unaongea na mtu mzima so, sion Haja ya wew kushangaa. Isitoshe najua hata wew kabla yangu ulikua kweny mahusiano so, sitashangaa Kama hutokua bikra.
Her: hapana mancobra, usiseme hvyo, mm Nina miaka 20 ila bado bikra japokua nipo kweny mahusiano.

Ee bwana; hii pisi iliongea vitu viwili vya utofaut kabsa, ilikua kwny mahusiano halaf bado bikra; inaonesha boyfriend wake alikua hang'ati? Kama ni kweli, niliwaza, hii pisi itakua ina dini Sana halaf walikua na mipango ya ndoa. Lakin nkikumbuka chatting zangu na zake nkapata wazo la kuprove wrong maelezo yake, anyway;

Me: hongera kwa kujitunza Joan, coz kwa dunia ya saiv watu aina yako Ni wachache Sana. (Kutoka moyoni, nilimjibu kinafiki Sana, hahahaha)
Her: Asante mancobra, mm nilikua naamini ipo siku ntapata mtu sahihi that's why nilijitunza, na mtu sahihi namuona Kama ni wewe.
Me: Asante kwa kuniamini Joan, nakuhakikishia hujapotea njia, upo kwenye mikono salama inayojua kushikilia thamani ya upendo.
Her: mancobra nafurahi kusikia hvyo, I love u ❤️.
Me: love u too, sitakuumiza Kama ex wako, but I don't know why he left u na wakat sisi wanaume tunapenda wasichana bikra?
Her: alikua na wasichana wengi wakat tulikubaliana kuoana, anyway achana nae naona Kama unanitonesha kidonda.

Niliona Kama usanii flan hv huyu demu analeta, demu alikua na defensive mechanism flan kuna kitu alikua anaficha.

Me: poa babe, sitaki kukuumiza tena, ila nimekuuliza hvyo coz sitaki kuachwa Kama Jamaa.
Her: hata ucjali mancobra; mm nmekuamin wewe na pia nataka utoe hii bikra cuz inanisumbua.

Oyaa wadau, demu alivyoongea hvyo hapo hapo blood circulation ikaongezeka kwny fimbo. Nkaona sms hazina ladha yani nkapiga simu tuongee vizuri;

Baada ya kupokea simu maongezi yetu yalikua ni kuulizana maswali, majibu na ngono, yani hatukua na story zaidi ya maswali, majibu na ngono. Ila kadri muda ulivozidi kusonga, story zikawa za ngono tu; demu anauliza; nasikia siku ya kwanza kusex (kutoa bikra) lazima niumie, mara oohh, wakat wa tendo nisipokata kiuno hautafika kileleni(hahahaha, yani tafrani kabsa).
Ee bwana, hzo ndo zilikua story zetu kwa usiku huo. Story zilitufikisha mpk saa saba usiku, ila mwisho wa siku tulipanga kukutana jumamosi na siku hyo demu alinambia ndo ntamuona na atanitunuku mbususu(hahaha).....

Je, Joan atafika ghetto Kama alivoahidi?
Joan Ni nani anayemsumbua mancobra?
Joan Ni bikra kweli au alidanganya?

Usikose sehemu ya mwisho.
 
Lete sehemu ya mwisho.

Isije ikawa kama Suzi wa kwenye Tamthilia ya Kilio Chetu, tuliachwa solombe hatukujua kama Suzi alijifungua au la, na skendo ya HIV sijui iliishaje
 
Back
Top Bottom