Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
C unipe hyo nafac ya smart aloikacha nikumiliki mamiloo.Ukute mchumba au ex wako anakupima tu! Be keafoooo!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TATEPA
Unataka kujifunzia kutunga story humu jamii forum mambo ya kitoto peleka kwa watoto wenzio, hivi mama yako leo amekupa hela ya kula shule.sijui huyu Ni demu wa aina gani? Ipo hivi; one day usiku ilinitafuta namba ngeni kwa sms(ilinitext Mambo), sikutaka kuchelewa nikapiga, najua wanangu wa halotel mnajua wingi wa dakika za halotel kwenda halotel. Basi bana, sauti iliyosikika upande wa pili ilikua ya kike.
Mazungumzo yalikua hivi;
Me: hlw nani mwenzang
Her: mim Joan(sio jina lake halisi, natumia kwa mazngira haya ya JF).
Her: nilitegemea kuongea na rafiki yang wa kike Ila naona Kama nimekosea namba!!?
Me: Ok, haina noma kama umekosea namba, usiku mwema.
Her: poa.
Nilikata simu nakuendelea na issue zangu. Baadae kidogo Kama dakika tano, demu katuma sms, " samahani kaka unaweza kuwa unamfahamu rafiki yangu(akataja jina ) yupo Arusha?". Nikamjibu mimi sipo Arusha nipo Dar so ntakua simfahamu.
Akaendelea, "ok haina shida ila hii namba yako kuna dada angu yupo Dar alikua anatumia kuwasiliana na mm" nikamjibu, kiukweli hii namba ni yangu toka kitambo, nikaendelea Kwan dada ako anafanya kazi Gani?
Akajibu anafanya kazi bank. Nkamwambia ntakua simfahamu coz kazi zangu hazihusiani na Mambo ya bank. Demu akasema poa nimekuelewa , tukaagana.
Ee bwana ee, kesho asubuhi mida ya saa nne kanitumia sms;
Her: habar za asubuhi bro, jana usiku nilipenda ukarimu wako.
Me: poa, kawaida tu.
Her: yani kutokana na ukarimu wako natamani nikujue, unaitwa nani?
Me: Mancobra(not real name)
Her: naomba tuwe marafiki.
Me: poa.
Baadae demu akaanza kuniuliza maswali Kama askari kanzu, una miaka mingapi, unafanya kazi Gani, wew ni mzaliwa wa dar?, Kati ya mvua na jua unapenda kipi?, Yani alikua Ana maswali kibao. Ila wadau maswali yake yote nilimpa majibu yanayostahili.
Basi bana, baadae nilivopata muda nkampigia simu, Cha ajabu alionekana kunifahamu kimtindo, nkajua atakua Ni demu anayenifahamu, ckumzingatia saanaa coz kipnd hicho nilikua bize na harakat zangu.
Ilivofika kesho yake, demu kanitafuta kaanza kuniuliza maswali Kama kawaida yake;
Her: Mancobra, una mchumba?
Me: Sina mchumba.
Her: upo kwenye mahusiano ya kimapenzi?
Me: hapana.
Her: ok, naomba tuwe wapenzi
Ee bwana ee, wadau Kama mnavojua vijana wa kiume hatunaga no demu akijileta Ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu. Lakni kabla ya kumjibu nkakumbuka cjawahi kumuona huyu demu, kiufupi nilikua cjawahi kukutana nae wala kuona picha yake WhatsApp na isitoshe kwa kipindi chote nilipokua nachat nae alinambia anatumia simu ndogo.
Man cobra baada ya kuwaza hii pisi zjawahi kuiona na isitoshe inaonekana kama inanifahamu hata kabla ya kujifanyisha imekosea namba, nikaona nisiipe jibu la moja kwa moja kwamba nipo tayari kuwa nayo kimahusiano badala yake nikwamwambia, "Joan siwezi kukwambia kwamba nipo tayari au sipo tayari kuwa na wewe kimahusiano coz mpaka saiv cjapata kukufahamu vizuri, yani mimi cjawahi kukuona face to face even picha yako cjawah kuiona, na inaonekana wew unanifahamu kabla, hivyo inakua ngumu mm kukuamin, naomba kabla ya yote tufanye wepesi wa kukutana au nitumie namba yako ya WhatsApp niweze kukufahamu"
Baada ya kumuambia hvyo demu akajibu the best Ni kutuma namba ya WhatsApp halaf kukutana Ni baadae. Nkasema poa, baada ya kutuma namba, demu akanambia kwa sasa Hana bando hvyo kuona picha zake nisubiri baadae kidogo (alinambia picha atatuma jion), nkamkubalia.
Lakini Kama ilivyo kawaida yake alinikomalia nimpe jibu kam nipo tayar kua nae kweny mahusiano ya kimapenzi?
Mtoto wa kiume nkaona isiwe shida nkamkubalia. Baada ya kumkubalia alionesha kufurahi Sana alisema " nafurahi Sana kuwa na mtu Kama wew kwny mahusiano mancobra, mm ntakupenda kwa dhati, naomba unipe uhakika kwa upande wako utanipenda kwa dhati?".
Kiukweli wadau, mimi nkamute kwanza, maswali mengi kichwani huyu demu mbona anaingia mzima mzima kwenye mahusiano na wakati huo hataki mimi nimfahamu?
Nkaanza kuwaza, Ni mtego nmewekewa na demu wangu au? Au huyu demu Anatest sexuality yangu? Nkasema anyway, jioni ikifika atakapotuma picha ndo ntajua Kama nimpende au nisimpende.
Mara paaap, jion ikafika, nkamtafuta whatsapp, akawa yupo online nkamtext akaitika, baada ya salamu nkaomba picha.
Sasa hapo ndo yakaanza mapicha picha yenyewe.
Ngoja kwanza ninywe maji baadae ntakuja kumalizia.......
(Itaendelea)
SeasonIlipoishia...
Mara paaap, jion ikafika, nkamtafuta whatsapp, akawa yupo online nkamtext akaitika, baada ya salamu nkaomba picha.
Sasa hapo ndo yakaanza mapicha picha yenyewe.
Songa nayo....
Badala ya kutuma picha akaanza ngonjera na maswali Kama kawaida yake.
Her: ucjali ntatuma but, nataka nijue kitu kimoja kutoka kwako?
Me: frxh, utajua tu ila tuma kwanza picha thn, mengne yatafuata.
Her: mancobra,mbona unakua na haraka Sana ya kuona picha wakat nshakwambia ntatuma!?
Me: sio haraka ila ni makubaliano yetu ya mwanzo kua utatuma picha tujuane thn tuendelee na maongezi.
Her: kwa hyo mancobra,inaonesha huniamin mpaka saiv!?, Hivi unadhan ningekua staki kutuma picha ningekupa namba yangu ya whatsapp? na nilikua na uwezo wa kukwambia sina smartphone. Sasa wasiwasi wako uko wapi? Picha ntatuma tu, we punguza haraka.
Dah! Wadau, nkajiuliza hii pisi ina shida Gani?, Mbona kutuma picha inazngua na ni kitu Cha kawaida Kama kweli imenipenda? Sasa na mm muda huo nkaona nisiwe boya coz nshajua nature ya hii pisi ina maswali flan hivi ya kunichimba maisha yangu especially ya mapenzi, nikawaza isije kuwa mtego. Nkaona Bora nivimbe, nikajibu hivi;
me: Joan, Mimi siwezi kuchat na mtu nisiye mjua.
Her: ok, kwa hyo mancobra unasema hunijui kwa kushndwa kuvumilia muda kidogo nikitumie picha?
Me: ndiyo, mm sikujui na hutaki kunitumia picha, Sasa mm ntakujuaje?
Her: poa, maisha mema na sitakusumbua.
Kiufupi wadau, pisi ndo ikawa imekatisha mazungumzo kwa staili hyo. Nkajiuliza, hivi huyu demu yupo serious kweli au anatania? Mbona Mambo yapo wazi kabsa yeye ndo inatakiwa atume picha thn tuanze kubebishana. Ipi sababu inayofanya ashindwe kutuma picha? Ni mbaya Sana au mzuri Sana? Au ni binamu yangu alikua Anatest mitambo? Au ni bongo movie anataka apate mistari ya kuigizia? Au ni demu wangu ananipima imani?...kiukweli nilikua na maswali mengi ya au.
Then nkapata wazo la kuachana nae coz yy Ni mzinguaji tu. Basi nkasema ngoja nifute namba yake Mambo yaishe. Nikaenda kwny contact nkafuta namba thn nikaenda kweny message kufuta namba ili nisiwe na mawasiliano Naye kabsa. Ile nataka kufuta namba, wazo jingne likaja, nikawaza huyu demu mbona Kama alikua ananipenda siriaz kimtindo, nikawaza,Kama alitaka kunitest alikua na uwezo ya kutuma picha yoyte (hata zile za instagram) ili kusud tu lengo lake la kucheza na akili yangu litimie. Ogopa overthinking, hahahaha....
Basi nikaendelea kuoverthink, mbona amekatisha maongezi kiroho Safi sio kwa Shari? Maana Angekua mtu wa kunitest mwisho wa siku angecheka na kusema kumbe wew Ni mwaminifu (yani angejionesha na kunipa ushindi kwa kuzishinda mbinu zake). Hivyo Basi, nikaona Bora nisifute namba yake kweny message nianze mchakato wa kuweka Mambo sawa.
Nikiwa natafakar jinsi ya kuweka Mambo sawa, wazo jingne la kusupport kurudisha mawasiliano na demu likaja; nikawaza huyu demu atakua anaplay hard to get yani anataka nisumbuke kidogo namna ya kumfahamu, naendelea kusema, ogopa overthinking, hahahaha....
Basi bwana, nkamtext tena;
Me: hlw Joan, usikasirike, Kama umejisikia vibaya kwa nilichosema plz, nisamehe( ukweli Ni kwamba niliandika sms hii sijui kosa langu mpk kuomba msamaha, hahahaha).
Baada ya dakika tano demu kajibu;
Her: poa, unasemaje? ( Hili jibu lilikua short sana ila nkajua bado anashow love, nkaona ngoja nijipigilie msumar ya kujishusha zaidi)
Me: naomba unisamehe kwa nilivokuumiza kwa majibu yangu.
Her: poa nshakusamehe
Me: Asante
Her: nikuulize kitu?
Hahahaha, nkajua maswali yanaanza kama kawa, nkajiuliza nikisema nkomalie picha atasusa, ngoja tu aulize maswali siku akiwa kweny good mood atatuma picha.
Me: yeah, uliza (nilijbu kinyonge Sana)
Her: ushawahi kusex.
Me:...................
Ngoja kwanza tulalie mgongo kabla ya kumaliza.
(Itaendelea.....)
Halafu mngejua wanawake wanavyochukia kulazimishwa kutuma picha, unaeza mwabia mtu tima picha na akakuacha, siku hizi na hii mitandao siyoaminika wanawake wamekua waoga sana, wapeni muda mzoeane na akuamini, baada ya hapo picha atatuma bila kuombwaIlipoishia...

Mods mnapoona ufala kama huu wa 'itaendelea, itaendelea' muwe mnafutilia mbali, mtu kama ana kisa chake basi atume chote na sio kuleteana mambo ya kisenge namna hii ..Ilipoishia...

Ndiyo unakuta nao M*ds wamependa chai ya mpishi...Mods mnapoona ufala kama huu wa 'itaendelea, itaendelea' muwe mnafutilia mbali, mtu kama ana kisa chake basi atume chote na sio kuleteana mambo ya kisenge namna hii ..
NIMEPANIK ..