Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Umri Unaenda Wenzio Wanaolewa Wewe Uko Busy kutafuta Mwanaume Wa Standard Zako Sijui Gari Mara Nyumba Sijui Handsome Kikaenda Kikarudi!! Huyo huyo #KAPUKU Uliyenaye Unaweza Ukamvumilia Ukamchallenge Ukampa faraja Ukampa Mapenzi Ukamtia Moyo N.K Mkapata Vyote Unavyotamani!!
 
Bila shaka umekosea njia upigwe makofi useme migambo wakorofi , rudi huko ulikotoka
 
Kila nikitaka kumtext ili nimregezee naona kama nitakuwa najidobora machoni
Jishushe tu mkuu mwambie biashara haiwezi ikatutengansha,mapenzi yetu yanathaman kuliko hyo bishara ya viatu...
Akikubali mkuu usijiroge tena kuumpa mtaji mkubwa kama huo mtu huumpandaye
Hakunaga biashara juu.ya mapenzi
 
Nimejifunza aisee
 
Sawa nitamfikiria
Swali la kizushi - mbali na kumpatia mtaji mambo mengine ulikuwa unawajibika walao kumtoa na vijisenti kidogo kidogo kwa ajili ya matumizi yake binafsi? Si unajua tena kibongo bongo hata kama binti ni muelewa kidume lazima kugharimia walao kidogo kulingana na uwezo ulionao.
 
Moja kwa moja kwenye mada, nilikuwa nampenz ila yupo tu nyumbani yaani hana kazi sasa kuna biashara nilimuhusisha kimawazo nikamuuliza vipi utaweza kuifanya kwakugawa malikauli kwawadada wenzio akasema anaweza nayupo tayari naakasema bidhaa ninzuri maana niviatu vyakike, mwanaume nikajitosa kuagiza mzigo nikampatia ili aanze kusambaza kwamakubaliano faida atakuwa anachukua kiasi kwaajili yamatumizi yake nanyingine kwaajili yakukuzia mtaji.

Biashara ilifanyika vizuri nasiku moja tu akawa kamaliza Viatu vyote ikabakia kuanza kukusanya hela kidogo kidogo naakawa ananipa mrejesho jinsi Wateja wanavyomlipa maana siishi nae yeye anaishi kwao namimi kigetogeto, sasa kuna kiasi ambacho aliniambia kaisha kusanya nikamwambia ngoja niandae hoda niagize mzigo mwingine maana kwahela hiyo tayari hela yetu yamzigo imerudi nikaandaa hoda vizuri sasa siku nimemwambia aniletee hiyo hela ndio ikawa shuuri aisee ailete wapi zimeanza sound eti kamkopa mama yake nikamwambia lete hiyo hiyo iliyo nashangaa naletewa laki 2 wakati aliniambia kishakusanya laki 8 namzigo thamani yake nilaki 8 nakidogo ila angeuza naakakusanya pesa zote nijumla shiling milioni 1 nalak nalak 2 napoint yaani faida ilikuwepo nilak 4 napoint.

Sasa nimechukia sana nanimeamua kumpiga chini ila sasa roho inaniuma sana utadhani Mimi ndio nimepigwa chini maana kwahali nilivyoiona sio mwanamke wakufanya nae maisha aisee ila sasa kimbembe nitamsahau vipi?
Duh! mungu wangu, kijana sijui ulikuwa unaandaa makala ya kumpelekea shigongo coz haueleweki. Ila kapate Kvant moja uje urekebishe huu uzi, sasawa kijana
 
Swali la kizushi - mbali na kumpatia mtaji mambo mengine ulikuwa unawajibika walao kumtoa na vijisenti kidogo kidogo kwa ajili ya matumizi yake binafsi? Si unajua tena kibongo bongo hata kama binti ni muelewa kidume lazima kugharimia walao kidogo kulingana na uwezo ulionao.
Mkuu yaani huyu bint nipo nae yapata miaka 2 toka anasoma college mpaka kamaliza kusoma nipo nae so kuhusu kumuhudumia hilo ondoa shaka japo sio kivile ila nilifanya hivi ili kuanza kumfundisha biashara kidogo kidogo maana siunajua kama ajira zimebana kwasasa
 
Huyo sio mama mkwe wako, nenda kadai hela yako, tena wakichelewa kidogo tu wapeleke polisi wakae siku moja
#Kijana Jitahidi sana kubalance kwamba jinsi hela ilivyo ngumu kupatikana na ndivyo hivyo hivyo iwe ngumu kuitumia kwa matumizi yasiyo ya lazima/msingi!

Mmmh ushahidi wa kimaandishi alimkopesha anai kwanza
 
Duh! mungu wangu, kijana sijui ulikuwa unaandaa makala ya kumpelekea shigongo coz haueleweki. Ila kapate Kvant moja uje urekebishe huu uzi, sasawa kijana
Wewe pekee ndio ujaelewa, alafu kwabahati mbaya umechelewa uzi ulishafungwa
 
Mmmh ushahidi wa kimaandishi alimkopesha anai kwanza
Sina nawala sijafikiria suala lakumpeleka police mwanamke niliyemkojolesha zaidi yamiaka 2 kwalaki 8
 
Huyo sio mama mkwe wako, nenda kadai hela yako, tena wakichelewa kidogo tu wapeleke polisi wakae siku moja
#Kijana Jitahidi sana kubalance kwamba jinsi hela ilivyo ngumu kupatikana na ndivyo hivyo hivyo iwe ngumu kuitumia kwa matumizi yasiyo ya lazima/msingi!
Khaa mkuu jamani hata angekua amemuoa mistake zipo amsamehe ila acheze kwa stepu
 
Mkuu yaani huyu bint nipo nae yapata miaka 2 toka anasoma college mpaka kamaliza kusoma nipo nae so kuhusu kumuhudumia hilo ondoa shaka japo sio kivile ila nilifanya hivi ili kuanza kumfundisha biashara kidogo kidogo maana siunajua kama ajira zimebana kwasasa

Okay mkuu kama mko pamoja muda mrefu hivo msamehee tu atakuwa kateleza na kukosea kama wengi wetu tunavyoweza kosea hasa kwenye masuala ya pesa bwana hasikuambie mtu. Watu kibao bila kujari jinsia zao walishakosea kwenye biashara hadi kufikia kula/kukosa mtaji na kufirisika kabisa, tena wengine wamekula/wamepoteza mitaji mikubwa/minono kwelikweli - ongea naye huyo mpenzi wako umuelekeze ili kupunguza possibility ya yeye kukosea tena baadae. Kila la kheri!
 
Inshaaalah
 
Iyo ela aliyopoteza ndiyo iwe Mali. Oa alafu wakidai Mali waambie Mali alichukua mama mkwe
 
Back
Top Bottom