amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
aiseeee ahsante sana ila ngoja nikomae tu mwenyeweHakuna mashart ni mkatab 2 naandksha yasijetokea kama ya mtoa mada
aiseeee ahsante sana ila ngoja nikomae tu mwenyeweHakuna mashart ni mkatab 2 naandksha yasijetokea kama ya mtoa mada
[emoji23][emoji23][emoji23] umechezea shilingi chooni...Nikweli nimemwambia mpaka kufikia mwisho wawiki hii niwe nimepata kiasi
Kwani ulimuambia humtaki?mimi naona tatizo hapo pesa tu ya biasharaKwahiyo unanishauri nirudishe majeshi
Roho inauma fedha ulizomwaga mkuuMoja kwa moja kwenye mada, nilikuwa nampenz ila yupo tu nyumbani yaani hana kazi sasa kuna biashara nilimuhusisha kimawazo nikamuuliza vipi utaweza kuifanya kwakugawa malikauli kwawadada wenzio akasema anaweza nayupo tayari naakasema bidhaa ninzuri maana niviatu vyakike, mwanaume nikajitosa kuagiza mzigo nikampatia ili aanze kusambaza kwamakubaliano faida atakuwa anachukua kiasi kwaajili yamatumizi yake nanyingine kwaajili yakukuzia mtaji.
Biashara ilifanyika vizuri nasiku moja tu akawa kamaliza Viatu vyote ikabakia kuanza kukusanya hela kidogo kidogo naakawa ananipa mrejesho jinsi Wateja wanavyomlipa maana siishi nae yeye anaishi kwao namimi kigetogeto, sasa kuna kiasi ambacho aliniambia kaisha kusanya nikamwambia ngoja niandae hoda niagize mzigo mwingine maana kwahela hiyo tayari hela yetu yamzigo imerudi nikaandaa hoda vizuri sasa siku nimemwambia aniletee hiyo hela ndio ikawa shuuri aisee ailete wapi zimeanza sound eti kamkopa mama yake nikamwambia lete hiyo hiyo iliyo nashangaa naletewa laki 2 wakati aliniambia kishakusanya laki 8 namzigo thamani yake nilaki 8 nakidogo ila angeuza naakakusanya pesa zote nijumla shiling milioni 1 nalak nalak 2 napoint yaani faida ilikuwepo nilak 4 napoint.
Sasa nimechukia sana nanimeamua kumpiga chini ila sasa roho inaniuma sana utadhani Mimi ndio nimepigwa chini maana kwahali nilivyoiona sio mwanamke wakufanya nae maisha aisee ila sasa kimbembe nitamsahau vipi?
Kila nikitaka kumtext ili nimregezee naona kama nitakuwa najidobora machoniBiashara na mapenzi ni vtu viwili tofaut kabisa...
Umefanya makosa kumuacha umpendaye kwasababu ya biashara na ndomana wajilaumu,
Ungemuacha kwasababu ulizo mmpendea
So usikurupuke kumuacha muite, na uogee naye personal na sio kwenye simu mkuuHamna mkuu roho hainiumi kivile ila tu kwasababu nampenda
Sawa nitamfikiriaInawekana katapeliwa na mama yake! Wamama wengine shida - hata wewe inaweza kukupata hii anakwambia nikopeshe mwanangu nitakurudishia na ukizingatia ni mama unampa mwishowe anakuyeyesha na nitakupa mwanangu kibao. Mpe second chance.
Ila mkuu unamahaba hadi unatoa mtaji kwa mupenzi...Hahahaha mkuu hiyo picha tu
Hamna sio kama nilimpa wotewote ila lengo hasa awe anajiingizia pesa kupitia mtaji wangu yaani anapiga faida ila mtaji wangu unakuwa pale pale namwisho wasiku kama mtaji ungekuwa basi tungekuwa tumeshareIla mkuu unamahaba hadi unatoa mtaji kwa mupenzi...
Mwanaume kama wewe nafikiri wapo wachache sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo lilianzia hapo kwenye "Hoda" mkuu!