Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Yaani mimi mawazo yangu nikifanya namababy ndio kitu kinanyooka aisee, alafu mimi lengo langu niyeye asiwe tegemezi kwao nakwangu yaani kwabiashara hiyo nilikuwa nimemuandalia kipato kizuri sana walah ila ndio hivyo
hujakosea anayekuambia ulikosea anakosea.

ulifanya vyema kabisa kumsaidia ili akupunguzie mzigo.

Na hili suala wanaume wengi ndilo linaturudisha nyuma. Wanawake tulio nao wengi wanataka pesa zije tu yeye hataki kujua zinapotoka.

ukimshirikisha mzitafute wote zinapotokea hakuna kitu. hili sio tatizo lako tu ni la jamii nzima.

jaribu kukaa naye umpe elimu. Ukiona yupo tayari kusikiliza na kubadilika ni vizuri kama jeuri na haeleweki ondoka.
 
Nikweli mkuu me nilimweleza nikamwambia nataka ubadilike kimtazo usiwe kama wanawake wengi walivyo nataka tusaidizane kuyajenga maisha ili nawewe uje ujivunie katika mafanikio yetu
 
Hata kumla huruhusiwi...ni urafiki mpaka ndoa...yani uzinzi kabla ya ndoa ndio chanzo cha ndoa kuwa gereza...
hapa hatuongelei uzinzi ni kumsaidia mpenzi wako uliyenaye.

Mara nyingi wanaume wachapakazi hupenda kumwanzishia mwanamke biashara.

hii husaidia mengi. kwanza ujue pesa nazo kupa-ga zinakotoka.

kukufanya usiwe tegemezi kwa yeyote hata kwa wazazi.

kusaidiana majukumu.

huyu kiongozi hakukosea kabisa.. aliyekosea ni huyu binti. kuwa mpenzi wa mtu sio kupewa tu usijue zinakopatikana. nikikuanzishia biashara nataka uweze kujimudu uwe binadamu.
 
safi... kuwa makini tu ukiwazacho sicho akiwazacho mwenzio.
 
hapa hatuongelei uzinzi ni kumsaidia mpenzi wako uliyenaye.

Mara nyingi wanaume wachapakazi hupenda kumwanzishia mwanamke biashara.

hii husaidia mengi. kwanza ujue pesa nazo kupa-ga zinakotoka.

kukufanya usiwe tegemezi kwa yeyote hata kwa wazazi.

kusaidiana majukumu.

huyu kiongozi hakukosea kabisa.. aliyekosea ni huyu binti. kuwa mpenzi wa mtu sio kupewa tu usijue zinakopatikana. nikikuanzishia biashara nataka uweze kujimudu uwe binadamu.
Nafikiri hata mlipoambiwa na Mungu muishi nasi kwa akili alijua..

Biashara ianzishwe kwa mke sio mpenzi maana huna uhakika kama utamuoa...
 
Ungemuoa kwanza ndio muanze biashara...ila hapo hata kama alikupenda...shetani kahamishia upendo kwenye pesa ulizompa...
Yaani me nipo tofauti sana nanilifanya hivyo baada yakujihakikishia nitamuoa kwamaana hiyo kuwa nampenda ila sikutaka kumfanya goli kipa
 
Hata kumla huruhusiwi...ni urafiki mpaka ndoa...yani uzinzi kabla ya ndoa ndio chanzo cha ndoa kuwa gereza...
Hahahaha labda kama muwe wote mabikra mambo yakuja kukutana nanati zimesharegezwa nani anayataka
 
hapa hatuongelei uzinzi ni kumsaidia mpenzi wako uliyenaye.

Mara nyingi wanaume wachapakazi hupenda kumwanzishia mwanamke biashara.

hii husaidia mengi. kwanza ujue pesa nazo kupa-ga zinakotoka.

kukufanya usiwe tegemezi kwa yeyote hata kwa wazazi.

kusaidiana majukumu.

huyu kiongozi hakukosea kabisa.. aliyekosea ni huyu binti. kuwa mpenzi wa mtu sio kupewa tu usijue zinakopatikana. nikikuanzishia biashara nataka uweze kujimudu uwe binadamu.
Kweli mkuu kwamfano eti mimi nikiwa nampenz alafu nimpende sionagi kama namfanyia fear kuwa nampatia tu pesa bila nayeye kufahamu jinsi yakuzisaka
 
Nafikiri hata mlipoambiwa na Mungu muishi nasi kwa akili alijua..

Biashara ianzishwe kwa mke sio mpenzi maana huna uhakika kama utamuoa...
Tuna mentality mbaya saana....

huu utofauti wa kiume na kike karne hii ya 21 kwenye mada tunauweka mwanzo hata kabla hatujadili jambo.

mwanamke na mwanamme ni binadamu wanaoweza kufanya majukumu sawa kabisa... hizo tofauti zingine zinakuja baadae saana. Mungu alizungumza nasi kiroho...

Nwei.
 
Yaani me nipo tofauti sana nanilifanya hivyo baada yakujihakikishia nitamuoa kwamaana hiyo kuwa nampenda ila sikutaka kumfanya goli kipa
Ulijihakishiaje? Dada wa watu ameona fursa hiyo maana hata hujamchumbia...kifupi hakuamini ka utamuoa
 
Back
Top Bottom