flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,856
- 6,442
- Thread starter
- #21
Nikweli mtoto wakiswahiliBila shaka huyo atakuwa ni mwanamke wa kiswahili wana matatizo sana hao, ni wepesi kuvunja uaminifu kwenye vitu vidogo huwa wanaingiwa na mapepo ya tamaa. We' tulia tu kama umeamua kumuacha taratibu utamsahau.