Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Moja kwa moja kwenye mada, nilikuwa nampenz ila yupo tu nyumbani yaani hana kazi sasa kuna biashara nilimuhusisha kimawazo nikamuuliza vipi utaweza kuifanya kwakugawa malikauli kwawadada wenzio akasema anaweza nayupo tayari naakasema bidhaa ninzuri maana niviatu vyakike, mwanaume nikajitosa kuagiza mzigo nikampatia ili aanze kusambaza kwamakubaliano faida atakuwa anachukua kiasi kwaajili yamatumizi yake nanyingine kwaajili yakukuzia mtaji.

Biashara ilifanyika vizuri nasiku moja tu akawa kamaliza Viatu vyote ikabakia kuanza kukusanya hela kidogo kidogo naakawa ananipa mrejesho jinsi Wateja wanavyomlipa maana siishi nae yeye anaishi kwao namimi kigetogeto, sasa kuna kiasi ambacho aliniambia kaisha kusanya nikamwambia ngoja niandae hoda niagize mzigo mwingine maana kwahela hiyo tayari hela yetu yamzigo imerudi nikaandaa hoda vizuri sasa siku nimemwambia aniletee hiyo hela ndio ikawa shuuri aisee ailete wapi zimeanza sound eti kamkopa mama yake nikamwambia lete hiyo hiyo iliyo nashangaa naletewa laki 2 wakati aliniambia kishakusanya laki 8 namzigo thamani yake nilaki 8 nakidogo ila angeuza naakakusanya pesa zote nijumla shiling milioni 1 nalak nalak 2 napoint yaani faida ilikuwepo nilak 4 napoint.

Sasa nimechukia sana nanimeamua kumpiga chini ila sasa roho inaniuma sana utadhani Mimi ndio nimepigwa chini maana kwahali nilivyoiona sio mwanamke wakufanya nae maisha aisee ila sasa kimbembe nitamsahau vipi?
Hapo kosa ni kuwa wewe ulikuwa kwako na yeye kwao laiti ungelikuwa wazi kwake kuishi nae sidhani kama angelikufanyia hivyo
 
Hapo kosa ni kuwa wewe ulikuwa kwako na yeye kwao laiti ungelikuwa wazi kwake kuishi nae sidhani kama angelikufanyia hivyo
Sasa mkuu sindio mambo yamaandalizi lakini
 
Sawa lakini hapo kuna namna ebu jiulize ulikosea wapi kwa maana hawezi chukua maamuzi gafla hivyo
Au kwa upande wake huenda kwako alikuwa kimaslahi zaidi ulipomwonyesha njia kaijua kuliko wewe
Yote yawezekana
 
Duuh! Ikitokea ukamuacha lazima atakuja kukumbuka aisee sababu maisha ya sasa wanaume wenye moyo kama wako ni wa kuhesabu.

Pole sana Mkuu mdai akikuzungusha muache na kama ndio utamuacha basi panga maisha mapya Mkuu ila ndio ujifunze. Kwani wanasemaga siku zote Hasara roho.

Maana waeza kuta huo wote anaokwambia ni uongo ila pesa alikuwa anaitumia kidogo kidogo mpaka imekwisha.
 
Huyo sio mama mkwe wako, nenda kadai hela yako, tena wakichelewa kidogo tu wapeleke polisi wakae siku moja
#Kijana Jitahidi sana kubalance kwamba jinsi hela ilivyo ngumu kupatikana na ndivyo hivyo hivyo iwe ngumu kuitumia kwa matumizi yasiyo ya lazima/msingi!
Duuh. Umeua Mkuu.

Kulifanya hilo mpaka afumbe macho hasa nje ya hapo sidhani kama ataweza maana ukiangalia ameshasema hajui namna ya kumsahau huyo mdada.
 
Duuh! Ikitokea ukamuacha lazima atakuja kukumbuka aisee sababu maisha ya sasa wanaume wenye moyo kama wako ni wa kuhesabu.

Pole sana Mkuu mdai akikuzungusha muache na kama ndio utamuacha basi panga maisha mapya Mkuu ila ndio ujifunze. Kwani wanasemaga siku zote Hasara roho.

Maana waeza kuta huo wote anaokwambia ni uongo ila pesa alikuwa anaitumia kidogo kidogo mpaka imekwisha.
Asantee
 
😛 😛 manake anahisi mwanamke kumtapeli mwanaume ni hadi awe na sababu yani hyo haipo mwanamke akiamua kukutapeli ni mchana kweupe tu anafanya yake sema tunawaheshimu sana

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Duh wanawake nihabari nyingine aache kabisa me ishashuudia vidume vinalia
 
Duh wanawake nihabari nyingine aache kabisa me ishashuudia vidume vinalia
Kabisaaa yani mwanamke anaweza akutungie story ya kutaka pesa na ukaingia mkenge huwa hatupendi tu ila mnatakiwa mtuheshim sana
 
Back
Top Bottom