flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,442
Moja kwa moja kwenye mada, nilikuwa nampenz ila yupo tu nyumbani yaani hana kazi sasa kuna biashara nilimuhusisha kimawazo nikamuuliza vipi utaweza kuifanya kwakugawa malikauli kwawadada wenzio akasema anaweza nayupo tayari naakasema bidhaa ninzuri maana niviatu vyakike, mwanaume nikajitosa kuagiza mzigo nikampatia ili aanze kusambaza kwamakubaliano faida atakuwa anachukua kiasi kwaajili yamatumizi yake nanyingine kwaajili yakukuzia mtaji.
Biashara ilifanyika vizuri nasiku moja tu akawa kamaliza Viatu vyote ikabakia kuanza kukusanya hela kidogo kidogo naakawa ananipa mrejesho jinsi Wateja wanavyomlipa maana siishi nae yeye anaishi kwao namimi kigetogeto, sasa kuna kiasi ambacho aliniambia kaisha kusanya nikamwambia ngoja niandae hoda niagize mzigo mwingine maana kwahela hiyo tayari hela yetu yamzigo imerudi nikaandaa hoda vizuri sasa siku nimemwambia aniletee hiyo hela ndio ikawa shuuri aisee ailete wapi zimeanza sound eti kamkopa mama yake nikamwambia lete hiyo hiyo iliyo nashangaa naletewa laki 2 wakati aliniambia kishakusanya laki 8 namzigo thamani yake nilaki 8 nakidogo ila angeuza naakakusanya pesa zote nijumla shiling milioni 1 nalak nalak 2 napoint yaani faida ilikuwepo nilak 4 napoint.
Sasa nimechukia sana nanimeamua kumpiga chini ila sasa roho inaniuma sana utadhani Mimi ndio nimepigwa chini maana kwahali nilivyoiona sio mwanamke wakufanya nae maisha aisee ila sasa kimbembe nitamsahau vipi?