Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

Na Hilo ndilo kubwa shoo manake angependwa hiyo kitu asingefanya yani wanaume ogopeni sana kukabidhi mitaji wanawake msokua na uhakika na mapenzi yao
Umeonaeee. Hatumkatazi kumshirikisha mwanamke kwenye biashara ila ndio aangalie aina ya mwanamke.

Wengine hawawazagi mbele na ndio kama huyo dada ambaye hakuwaza kwamba kuna kufanikiwa mbele ambapo angeeza tumia pesa atakavyo ila tu akawa na roho ya kimasikini ambapo amesahau kwamba zitakwisha na shida itarudi palepale.
 
Amekuwa na tamaa mapema mnoo
 
Uaminifu ni kitu cha msingi, hapo hakuna mapenzi,

What is laki 8 btw? Tena usimdai piga kimya, tafuta mwanamke mwingine, siku akikutafuta. Mtumie dedcation ya " nikusaidieje by prof j.

Eti kumsahau? Nyoooo kwani ulizaliwa nae? Bira kakuonesha rangi yake hujafika mbali.
 
Swala la kumsahau ni simple sana, kati ya wewe au yeye mmoja wapo atangulie makao mazuri tu, hakuna namna
 
Duuh! Ikitokea ukamuacha lazima atakuja kukumbuka aisee sababu maisha ya sasa wanaume wenye moyo kama wako ni wa kuhesabu.

Pole sana Mkuu mdai akikuzungusha muache na kama ndio utamuacha basi panga maisha mapya Mkuu ila ndio ujifunze. Kwani wanasemaga siku zote Hasara roho.

Maana waeza kuta huo wote anaokwambia ni uongo ila pesa alikuwa anaitumia kidogo kidogo mpaka imekwisha.
Busara teletele zimejaa hapo.....sichokagi kukusoma na kufatilia post zako Hajar

Mungu Akuzidishie hekima na busara, upole na unyenyekevu zaidi na zaidi
 
Ukisikia mwanamke goli kipa ndio huyo, yaani umejitahidi sana kumpa wazo, kumpa mtaji na kumfanyia usimamizi bado hajaelewa tu kwamba unajitoa kwake kiasi kikubwa anafanya umwehu halafu bado wewe unajisaili kumpiga chini msahau tuuu hana faida
 
Uaminifu ni kitu cha msingi, hapo hakuna mapenzi,

What is laki 8 btw? Tena usimdai piga kimya, tafuta mwanamke mwingine, siku akikutafuta. Mtumie dedcation ya " nikusaidieje by prof j.

Eti kumsahau? Nyoooo kwani ulizaliwa nae? Bira kakuonesha rangi yake hujafika mbali.

Wanawake bhana, unavosema what is laki 8 pengine hapo sahiv huna hata elf 70, na hujawahi ishika hiyo laki 8....kama unaona laki 8 ni ndogo, itafute sasa kama hujatoka jasho la meno kuipata. luckyline
 
Usingemwambia mapema kama utamuacha, ungemsuburia kwa muda kidogo uone kama angerejesha au ni sound tu, alaf ndo ungefanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom