Mama Zuu kasahau Vitu vya Msingi, pia sijaona DSTV AU AZAM malipo au Hana TV. Au pengune aweke hata gharama za Bando netflix. Mbinguni tutafika tumechoka sana.Mbona sioni nyanya vitunguu, mkaa au gas.
Mama Zuu atakuwa amesahau kuweka mboga mboga za majani, mshahara wa dada wa kazi.
Wanaume tafuteni hela mtafika mbinguni mmechoka sana.
Itakuwa kuna part 2 ataituma siku zijazo.Mama Zuu kasahau Vitu vya Msingi, pia sijaona DSTV AU AZAM malipo au Hana TV. Au pengune aweke hata gharama za Bando netflix. Mbinguni tutafika tumechoka sana.
Kuna wanawake jamani unaweza ukasema una bahati mbaya yaani kichwani ni tikitiWanaume tujitahidi kuoa wanawake wenye akili na wanaojielewa kuepuka hizi aibu.
Anapikia umeme si 50000 hiyo umeona hivyo vingine vyoteMbona sioni nyanya vitunguu, mkaa au gas.
Mama Zuu atakuwa amesahau kuweka mboga mboga za majani, mshahara wa dada wa kazi.
Wanaume tafuteni hela mtafika mbinguni mmechoka sana.